happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Jamani inaumiza.... Khaaa! Kiumbe huyu amefanya kosa gani kwako au Kwa Mungu inayostahili adhabu anayopewa? Nijibuni... naumia
dah inauma sana aisee,,,, uyu ndo yle wa rukwa?
Jamani!!!
Hivi huwa tunawaza kuwa kuna Mungu kweli?