Naendelea kusema, mtu kwao, lakini hamsikii na mnaziba masikio yenu kwa kuweka uongo wa UKAWA. Hapa ni Magu Mkoani Mwanza. Dr. Magufuli anaendelea kuuzika upinzani kwa kumwaga Sera nzito nzito za...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo...