Kati ya hawa watatu nani angefaa kuwa first redy wetu? Mrs magufuli, lowasa hata slaa

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,114
Naomba coment zenu wana jamvi , kati ya hawa nan zaid??
 
Attachments

  • IMG_0906.PNG
    IMG_0906.PNG
    129.1 KB · Views: 849
  • IMG_0905.PNG
    IMG_0905.PNG
    196.1 KB · Views: 791
  • IMG_0898.PNG
    IMG_0898.PNG
    286.8 KB · Views: 799
  • IMG_0901.PNG
    IMG_0901.PNG
    251.1 KB · Views: 716
  • ujasiriamali14.png
    ujasiriamali14.png
    117.8 KB · Views: 655
hebu fafanunua zaidi heading ya topic yako,'redy' unamaanisha nini?
 
Duu huyu Josephine ni kama guberi la wapi sijui.. Rafiki yangu Aminiel Mahimbo pamoja na kwamba Dkt Mihogo alikupora mke lakini pia unapaswa kumshukuru Mungu kwa kukuondolea hili bazazi..!?!
 
"First Redy"...Elimu yetu imeharibiwa sana na Maccm. Lowassa baba, ingia Ikulu uboreshe Elimu.
 
Duu huyu Josephine ni kama guberi la wapi sijui.. Rafiki yangu Aminiel Mahimbo pamoja na kwamba Dkt Mihogo alikupora mke lakini pia unapaswa kumshukuru Mungu kwa kukuondolea hili bazazi..!?!

Josephine akisoma hapa anaweza kulia...
 
Back
Top Bottom