Tunaimani na hali ya juu kwako....Magufuli kiongozi anayesikiliza watu.....Magufuli kiongozi mwenye maamuzi sahihi ya kuleta maendeleo...tarehe 25 is your day...tutakuchagua rasmi kua rais wa...
Uchaguzi unaisha hata hivyo kuna chama kile ambacho hakina itikadi
bila kujali wewe ni CCM au UKAWA kuna chama ambacho mgombea
tukimtazama kwa macho tu...tunakubaliana 'anafaa na anafaa zaidi'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.