Kumsoma mwanamke sura
Kujua au kuweza kumsoma mtu kunaweza kukupa dalili nyingi nzuri zakuweza kumfahamu undani wake kimapenzi.
Nywele Changa (HAIRLINE)
Zikiwa zimejikunja zinaashiria kuwa u Mtu...
Hakuna hata mmoja anayependa kupokea lawama mara kwa mara, na mara nyingi inategemea ni jinsi gani unavyomjibu yule anayekulaumu, labda utamwambia maneno ya dharau kejeli, matusi au kujibu...
Kuna taasisi iliyoanzishwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo, inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND, hivi inatambulika kisheria na iko chini ya nani? Naofia ya deci na kina...
Tanzania, Sudan na Libya wako bize kuandaa majeshi yaende Comoro , Lakini mbona hiii mipango kabambe inayofanyika inamaana kuwa ilipitishishwa na nani?na mbona suala hili la kupeleka wanajeshi...
Kama ulidhani Afrika ni kinara wa maliasili na rasilimali basi umekosea. Makala hii toka allafrica.com, japo ni ndefu sana itakupa mwangaza wa kutosha kujua ukweli. Na kwa mtazamo wangu ni kwamba...
Nimechunguza sana na kuona mara nyingi nchi za Afrika hukurupuka na kujiunga na shirika/mikataba/makubaliano yeyote yaitwayo ya Kimataifa bila kwanza kufikiria kwa kina faida na athari zake. Jambo...
Kuporomoka Kwa Maadili, Kushamiri Kwa Ushoga Na Ukahaba
Katika zama zetu za leo kuna janga kubwa linalohatarisha uhai wa jamii ulimwenguni. Mithili ya virusi vinavyoua mwili, janga hili...
mara nyingi kwenye kusoma kwangu sayansi nimekutana na maneno,'assume other terms are constant'. kuna wakati i also assumed so as to proceed with my calculations, "fake calculations". siku moja...
Naomba kama kuna mwenye busara anifahamishe kwetu ni wapi?
Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka ya sabini kurudi nyuma wamezaliwa mkoa wa TABORA wilaya ya MPANDA.
Kwa wale waliozaliwa MPANDA miaka...
Hivi hawa watu wanaoitwa Clairvoyants wanapatikana Bongo? ingawa sijui ni jinsi gani inaitwa kwa kiswaahili ila tafsiri yake ni somebody who is supposedly able to perceive things that are usually...
Filmmaker: Claudio von Planta
Albinism is a non-contagious, genetically inherited disorder, affecting about 1 in 20,000 men and women around the world, regardless of ethnicity and...
Ndugu wana Jamii forums,
Nimeonelea ni-post hizi news zilizotoka wiki iliyopita kwenye ki-jarida cha Africa Confidential (UK) ambacho najua wengi tunashinda kukisoma kutokana na kuwa bei ya...
By Nova Kambota,
I just hear that there are some people who question about Osamas death, a lot of critics around the world against Obama, people think that this may be political propaganda by...
Habari wana JF,
Serikali inajiandaa kutoa vitambulisho vya taifa kwa waTZ wote. Naiunga mkono kwa uamzi huo mzuri.
Lakini katika vipengele vyote sijaona sehem hata moja ambayo itaweza kumtambua...
Dear Colleagues,
Please find the attached advisory. I kindly request wide dissemination to all staff members.
Kind Regards,
Lee
Lee Peterson
Country Security Adviser
Department of SaFety &...
Nimebahatika kuingia katika ofisi mbalimbali za serikali na hata baadhi ya mahakama zetu jijini Dar es salaam na nilishangaa kuona matangazo mbalimbali katika kuta za ndani za baadhi ya ofisi hizo...