Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wadau katika pita pita zangu nilikuatan na hii kitu toka Human Rights Watch, ukiisoma vizuri utakuta kuna video na ipo pia version ya kiswahili, nikaona si vibaya kushirikishana. Kama ilishawekwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
The US spying scandal deepened today as Secretary of State John Kerry said it is 'not unusual' for governments to bug the offices of their allies sparking fierce retorts from France and Germany...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
  • Closed
Wana Jf, Imegundulika kuwa kuna mkakati mbaya unaofanywa na ccm na serikali yake kumdhuru Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema. Intelijensia ya Chadema imefanikiwa kunasa taarifa ya kumwua mbunge...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
Kuna jamaa zangu huwa tunasumbuana sana kuhusu ni mikoa ipi inaongoza kiuchumi hapa nchini kwetu tanzania....kama unajua naomba nifahamishe mwanajamiiforum mwenzio
0 Reactions
29 Replies
36K Views
Mwl Lwaitama ameshangazwa kwanza na matumizi ya neno UGAIDI. Amesema matukio mengi yaliyotokea hayastaili kuitwa ya kigaidi kama lile la mwangosi, ulimboka na n.k.Mwl kasema matukio hayo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya tukio la bomu lililolipuka ktk mkutano wa CDM Soweto Arusha na kuuwa watu 4 huku zaidi ya 70 wakijeruhiwa,kumekuwepo na mabishano ya hapa na pale kati ya jeshi la polisi kwa upande mmoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sisi ni askari wajeshi la polisi nchini Tanzania, tunaomba Mh.Rais Jakaya Kikwete amuondoshe madarakani,mkuu wa jeshi letu Inspekta Jenarali IGP Saidi mwema katika uongozi wa jeshi la polisi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kuna haja ya kujuana na police mmoja dr mmoja malimu mmoja manasheria mmoja trafiki mmoja yaani kila idara pia fahamu tiss mmoja bila kusahau mjeshi mmoja.wengi wamefanikiwa kupata taarifa ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mimi ni Mtanganyika mwenye uzalendo wa kutosha wa Nchi yangu Tanganyika ambayo bila shaka kutokana na kukosa kutenda haki kwa utawala dhalimu unaoitawala Nchi yetu tangu uhuru yaani utawala...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
UGAIDI NI NINI?Kwa maelezo mafupi,Ugaidi ni kitendo kinachofanywa na watu,taasisi,au kikundi cha watu kwa njia za vurugu,fujo na mauaji ili kutia uoga jamii lengwa na kifikia malengo mahsusi.Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Majukumu ya JWTZ JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JWTZ lina majukumu yafuatayo: Kulinda Katiba na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
WAKUU: 1. Mtakumbuka kuwa hapa nchini kulikuwa na kashfa ya mke wa kamishna wa polisi mwandamizi aliyejipatia kipato kwa kuwalaghai vijana nchini kuwa watoe pesa ndiyo awatafutie ajira usalama...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Majukumu ya JWTZ JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JWTZ lina majukumu yafuatayo: a. Kulinda Katiba na...
0 Reactions
14 Replies
13K Views
I have been recently speculating about the connection existing between how the science foresees the earth with respect to how religion tells us about the end of the world. its quite amusing, yet...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
CHADEMA wanafahamika kwa mipango madhubuti na makini. Viongozi wa JUU KABISA ndani ya chama wana sifa ya usiri na umoja. Mara nyingi pale wanapotoka hadharani kuiweka mipango yao huonekana kama...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa atayenipa jumla ya hela ya Tanzania.. Faster..! Ukipatia please Nipe namba yako ya m-Pesa au Tigo Pesa nikutumie sasa hivi..only after two hours from now..! This is 15:20 at 17:30 Kama Hapana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau anaejua kitabu hiki kinapopatikana anipm niliwahi kukisoma miaka kadhaa, maktaba kuu hawana msaada pls
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Professor SILAS LWAKABAMBA ambaye ni waziri wa ujenzi wa Rwanda ni mnyarwanda wa muda mrefu ila alikaa Tanzania anakula nchi tu kama Mtamzania. ana miliki Ngombe nyingi na heka nyingi sana kAGERA...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Pana jamaa yangu katumiwa meseji , hajajua hao majambazi walipo, wanamwamuru kuwapa pesa kwa simu ya voda, afanyeje ili ajue walipo hao majambazi , kama pana mtu anaweza saidia kujua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sisi watanzania bado tuna imani na jeshi la polisi ila tunaomba majibu au ufafanuzi wa mambo haya yafuatayo uchache. 1:Matokeo ya uchunguzi ya wale askari wa Airport Dar waliotaka kumbabmbikiza...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…