Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Rais Evo Morales wa Bolivia amesema kuwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa yanapaswa kuondolewa New York Marekani na kupelekwa katika nchi nyingine kutokana na siasa za Washington za kutoa vitisho...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Salaam wana Jf. Naomba kujuzwa 1:mechanism behind kutekenywa(Kwapani,tumboni,kwene mbavu nk) na kwanini mtu akitekenywa anacheka. 2:Kwanini,as age advances,hiyo hali inapungua. Ahsanteni.
1 Reactions
16 Replies
8K Views
  • Closed
Wana Ukumbi ebu fungueni hapa chini alafu muujue uislamu unavyopinga Ugaidi.. Japo wengi hawajui na uislamu ni Tofauti na waislam matendo yao wakati mwingine FatwaIslam.Com : The Ruling on...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
toka jina la nchi yetu pendwa TANZANIA lilivyoanza kuchafuliwa na sifa mbaya ya kua kimara wa biashara ya dawa za kulevya Africa mashariki na zaidi ya hapo nimekua na mashaka sana hapa nchini kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1: Wahandisi wa Kiafrica tumebobea kwenye kukopi na kupest Ubunifu wa majengo.. Imagine jengo kubwa namna hii la WestGate Shopping mall.. unaweza kuamini kumbe lina mlango mmoja tu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani niwasalimieni.... Nimeperuzi katika tovuti ya BOT kwenye list of Governors nikakutana na orodha ya magavana waliowahi kuongoza chombo hiki mahususi kinacho tuzika wakati fulani na kutufukua...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Very shame n sad for our south - East region! Nchi saba za huu ukanda wetu kuwemo kwenye top ten ya vio vinavyotokana na HIV!! na Tanzania ndio kwanza tumekamata nafasi ya nne!! 1 South...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kinachonifurahisha kwa mashirika makubwa ya kijasusini kuwa wako radhi wapoteze kitu kikubwa sana kwa muda huo kuliko ku-compromiseintelligence gathering techniques zao kwa watu wengine. Juzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kwanza kwa tafsiri ya kawaida ya "mfumo kristu" ni "utaratibu unaotumika kuongoza/kutawala mahali/watu kwa misingi ya dini ya kikristu" Nchini Tanzania kumekuwepo na madai kuwa Tanzania "ni ya...
35 Reactions
2K Replies
129K Views
chronological age: huu ni umri wa mtu alio nao, kama una miaka 20 basi chronological age yako ni 20 years mental age: huu ni umri wa akili ya mtu, kama una miaka 10 na unaweza kufanya vitu...
8 Reactions
102 Replies
39K Views
Leo mida ya saa kumi nimeenda kibaha kwa mathias. Nikiwa narudi maeneo ya kibaha stand nikasimamishwa na trafiki. Wakasema kosa langu niliovertake maeneo ya miembe saba nikasimamishwa nikakimbia...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Usiri wa watuhumiwa wa mabomu ya Arusha unatisha sasa. Watu wamekufa Olasiti na Soweto. Watu wamejeruhiwa. Watu waliteseka na kulia mno juu ya jambo hili. Wapo walioachwa wakiwa juu ya kadhia...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kila siku najuiliza nini chanzo kkikuu na kinacho sababisha rushwa isipingue badala yake imekuwa ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, kama wizi ilivyo kwa watumishi wa umma wezi huutwa wajanja...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Kuna kampuni moja imesajiliwa visiwa vya Belize inajulikana kama Kilimanjaro Capital Limited. Ukiiangalia kwa haraka haraka waweza fikiri ni kampuni ya wazawa ya Kitanzania wenye malengo ya kuleta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejawa na furaha ya ajabu mchanawa leo kwa mara ya kwanza nimepokea barua pepe kutoka international criminal court(ICC). Mnamo tarehe 27/08/2013 nilituma barua pepe kwenda ICC nikiomba...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Ice cold beer plz......... mtanisamehe sehemu nilizo changanya lugha. usawa wa kijinsia maana yake ni kwamba wanaume na wanawake ni sharti wapate same treatment unless there is sound...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari za mchana, Naomba Bunge letu ifanye kikao maalum ya kumhoji mkuu wa JWTZ au waziri wa ulinzi kuhusu Lt. Col. Seromba. Watanzania wanataka kujua ukweli. Watanzania, lazima tujue huyo Lt...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
  • Closed
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi, Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la...
2 Reactions
244 Replies
19K Views
Hivi kwa wale wenye browing 9mm kuna ili la tatizo la firing pin kushindwa kuchoma risasi ili ilipuke yani unavuta trigger na inakubari lakin hailipuki na ukiangalia risasi ni kama imeguswa kidogo...
0 Reactions
85 Replies
14K Views
Nimekaa na kufikiria ya kwamba: Mara nyingi tunawaambia wenzi wetu tunawapenda, na pia wakati wa kufunga ndoa tunatoa viapo na mwisho wa siku tunakabidhiwa 'a piece of paper' kuashiria muunganiko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…