Siku zote tetesi inayohusiana na mambo ya usalama wa nchi ni lazima ifanyiwe kazi haraka.hivi karibuni kumeibuka matukio ya igaidi katika maeneo mbalbali ya nchi yetu ikiwemo kilombero.na...
Siku zote tetesi inayohusiana na mambo ya usalama wa nchi ni lazima ifanyiwe kazi haraka.hivi karibuni kumeibuka matukio ya igaidi katika maeneo mbalbali ya nchi yetu ikiwemo kilombero.na...
Je unazijua namba za matapeli? Zibandike hapa ukieleza utapeli wao unahusika na nini ili wana jamii forums wajiepushe nao na vyombo husika vipate taarifa vishughulike nao.Karibuni.
Wadau,
Huwa najiuliza sana hili swali; hivi kama kungekuwa hakuna dunia kungekuwa na nini? Naombeni tufikiri na tujuzane, kungeweza labda kuwa na nini?
Karibuni.
Watumishi wote wa Bank wanafanana kwa kuwa na alama au mchoro M katika viganja vyao. Hapo ndipo napouliza kwanini iwe hivyo? Yaani mtumishi yoyote wa bank yupo katika kundi la wenye kiganja chenye...
Nchi imekua kiutandawazi, Tanzania ya leo si ya mwaka 1978, Uhalifu wa kutumia silaha umeongeza, ugaidi ndio kila kukicha utekaji nyara nao unashika kasi, Hivi, tulishawahi kujiuliza yaliyotokea...
Wadau,
Naomba tujiuliulize hili swali na kwa mwenye majibu ataweza tupatia.
Kwa nini siku mpya huanza kuhesabiwa usiku wa manane na si pale jua linapochomoza?
Karibuni tupeane ujuzi wa swala hili
Can non theists defend their belief position that No God exists - or is non theism a mindless belief held without evidence or arguments?
I have never heard an non theist offer arguments or...
Usiku wakati nimelala nimeota nafanya kazi sehemu ya hatari sana, sikujua ni floor ya ngapi lakini ilikuwa juu sana, pia kama ningefanya uzembe ningeanguka na matokeo yake yangekua mabaya sana...
Wakuu habari zenu,
Kichwa cha habari kinajieleza. Ningependa kufahamishwa kwa nini mtu akitaka kufanya jambo baya utasikia akisema NITAKUFANYIA UMAFIA au utasikia akisema MIMI NI MAFIA...
Wadau;
Nimeshuhudia baadhi ya watu wakivaa mavazi na kuweka badge ya bendera ya Taifa la Tanzania
Mfano vazi la suti alafu kunakuwa na ki badge cha bendera
Nini maana ya hii badge?
Je ni kila...
Nimekuwa nikijiuliza! Hivi kwanini wahamiaji wanaovuka bahari kuingia Europe kutoka Afrika ya kaskazi huwa boti zao zina zama mara kwa mara au Nyani Wamezidi Europe Wanaamua Kudhibiti wimbi la...
Friedrich Hegel (August 27, 1770 November 14, 1831) mwanafalisafa wa kijerumani alishawahi kuchambua uwezo wa binadamu duniani na katika uchambuzi wake sisi waafrika (kusini mwa jagwa la sahara)...
Bristling with state of the art weaponry, armed with a remote control turret, and equipped with outer armour that explodes on impact to stop shells reaching the crew inside - this is the new...
Tahadhari kwenu, kuelekea ''new world order''
Baadhi ya viongozi tayari wameshapokea masharti ya namna ya kuiongoza Tanzania kutoka kwa wenye nchi.
Sharti jipya ni kuhalalisha ushoga tanzania...
Katika vyou mbalimbali vya kijeshi na vya kawaida kuna kozi inayoitwa Hermanurtics katika somo hili wanafunzi wanatakiwa kuchambua kazi fulani na kupata mawazo msingi ya mwandishi/mtunzi/msanifu...
11:42 15.06.2015
Russia has developed super-high-frequency gun capable of deactivating unmanned aerial vehicles (UAV) and the warheads of precision weapons at an impact range of ten kilometers...
Wafaransa ni watu Fitna kuliko watu wote Duniani. Ni mabingwa wa kupandikiza chuki, undumi la kuwili na mambo kama hayo. Nchi zote zilizotawaliwa na wafaransa/wabelgiji mpaka leo hii hazikaliki...
Tangia kuanzishwa kwa kampuni hii ya VIETTEL TANZANIA LTD kumekuwa na ongezeko kubwa sana ya raia wa VIETTNAM hapa Tanzania, Je serikali hailioni hili? Je uhamiaji hawalioni hilo? Imekuwa kero...
Heshima kweni wakuu. Nilikuwa nasikia halafu nikajionea mwenyewe. Mtu anapiga kelele, kutetemeka na kusema maneno ya ajabuajabu eti kapandisha shetani.
Inakuwaje sipati jibu. Nawaombeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.