Uhusiano wa NAZI ya Hitler, Freemason na Uchaguzi wa CCM na Tanzania

SOBIBO

Senior Member
Aug 2, 2010
103
31
Uhusiano wa nazi ya Hitler, Freemason na uchaguzi wa CCM na Tanzania

Ndugu Watanzania na wanamageuzi wenzangu na haswaaa vijanaa tupime kila kitu kwa jicho la tatu tujikumbushe huu msemo wa nguliii la freemoson na wanachoamini kuhusu namna bora ya wao kuendelea kutawala kwa kuwa chama tawala au cha wapinzani.

Watu wenye hulka ya kupora raslimali hawaangaliii chama ila mtu mtiifu kwao anayeweza kuwasaidia kupora maliasili na kundi hiliii ili kuendelea kuwa kiongoziii hawajaliii CCM wala chadema wala cuf wana msemo usemao

"the best way to control the opposition is to lead it ourselves." - vladimir ilyich lenin freemason member.

Je huu mfumo wa dunia ndio unaoendesha uchaguzi CCM?

Je huu mfumo utafanikiwa kuendelea kuitawala tanzania kwa kupitia ccm au upinzani? Je tofauti zinazoendelea ndani ya CCM ni mpango wa hii system ya dunia kucontrol kile na yule wanaoaminiwa na huu mfumo? CCM wajifanye wamegawanyika then baadhi ya watu waondoke kujiunga upinzani kwa mwavuli wa kuleta mabadiliko kwa kuonewa….kumbe wako kazini.

System ya dunia, this is gameopen your eyes and see.Watu wanaoipenda tanzania tuendelee kumwomba mwenyezi Mungu aliye mwingi wa rehema atuepushe na ghiliba za mfumo huu unaoleta kile kisicho cha mungu katika nchi kwa masilahi yao.

Tukiomba Mungu atatuepushaaaa na watanzania watafunguka ufahamu na kuwajua hawatapewa nafasiiiii kwa tanzania yetuuuu
media mind control.

"the great masses of the people... Will more easily fall victims to a big lie than to a small one." - adolf hitler
hitler aliamini na alitumia mfumo huu na alifanikiwa….anachotuambia hitler ni kuwa watu wengi wataamini uongo mkubwa kuliko mdogo na haswaaa ukirudiwa rudiwaaa …haijalishiiiiiiiii rudia rudia rudiaaaaa watabadilikaaaa watakuaminiiii ….jehanamu wataionaaaa paradisoooo

Kwa Watanzania wenzangu na wanamageuzi CCM kila uchaguzi wamefanikiwa kutugawa kwa misingi ya kutofautiana kwao tukaaminishwa tukapigwa chenga kumbuka 2005 walikuja na story JK.

Hakuchukua nyumba ya serikali akiingia jambo la kwanza atazirudisha tukaamini tukashangilia…tukaweka tumaini letu…pia tukaaminishwa jk na mkapa hawaivii hivyooo atawawajibisha watu wa mkapa…..tukaimbishwaa tukaimbaa….sasa tumerudi palepale ….lowasa na jk hawaelewani hivyo akiingia atawawajibishaaaa… poleniiiiii. Au akitoka ccm anaijua
atawawajibisha poleni watanzania …… kuna system inacontrol lets open our mind……master mind there are at work amka Tanzania amka Tanzania.

Propaganda;

"the great masses of people will more easily fall victims to a big lie than to a small one. Especially if it is repeated again and again." -- adolf hitler ……see what is going on in Tanzania.

"a lie told often enough becomes truth" - vladimir lenin.

Kuna system za freemason kutafuta huruma kwa jamii kwa kutumia kulalamika kuonewa na hata kufanya jambo la kujidhalilisha kama mojawapo ya kigezo cha utiii kwa master waooo ili jamii idanganyike na iache misingi ya wazi ya kumpima kiongozi tuingie kwenye hisia emotion tuweke akili zetu kapuni.

Safariii hiii watanzania tuseme hapana, Wako radhi hata kujikojolea hadharani na walete uzushi kuwa alilishwa kitu, ili tuuu jamii imoneee hurumaaaa, haijalishiii ukweli uliomooo ndani yaooo wanafanya kile wanachoweza kufanyia propagandaaa…haswaaa kupata hurumaaa kwa wamamaa, wanawake.

Watanzania wenzangu juweni kuwa freemason wana staili ya kutofautiana na hata kudhalilishana ilimradi huo ugomvi utapelekea kundi mojawapo ambalo ni mwanachama abaki kwenye control of resources, na wanaoperate kwa order utaona watu waliokuwa maadui ghafla wanakuwa marafiki siyo wao wanapenda …ni sheria ya mwamvuli ya waliopo…kwamba msimamo wetu ni hapa for our interest ..no objection…mnaungana kutekelezaaa agenda ya master……fungua macho yako uone…hata kama kambale na sato hawakai pamoja watakalishwaaa na kupeyana ushirikiano…siyo mapenzi yao ni ya mfumoo.

Hitler alifanikiwa kutawala dunia kama inavyoaminika kwa muda kidogo kwa propaganda alichaguliwa na wananchi wenzake wa ujerumani kwa kuwarubuni kwa propaganda, hakutumia silaha watanzania tujue hivyooo ninaamini kama whatup na social media ingekuwepo wakati wa hitler angetutawala wote kwa ubunifu wake wa uongooo...kama huu unaoaminishwaa watanzaniaaa Tanzania, CCM, CHADEMA, CUF, (UKAWA) mna nafasi ya kuiponya Tanzania.

"there is a popular misconception that the nazis closed down existing newspapers and radio stations when they came to power. They did not. Instead, they installed a hidden and centralized system of censorship. Editors in all the newspapers received their instructions on what events to cover – and, more significantly, what events to be silent about – from a central office.

 
Kuna mfumo mwingine wa pesa za mashoga kuja kutawala Tanzania kutoka kwa waliberali wa Uingereza, huo unaujua? Kaa chonjo utamezwa mzimamzima Mtanzania,
 
Kuna mfumo mwingine wa pesa za mashoga kuja kutawala Tanzania kutoka kwa waliberali wa Uingereza, huo unaujua? Kaa chonjo utamezwa mzimamzima Mtanzania,

Weka data mkuu, mbona unaleta vitu visivyoeleweka?..!
 
freemasonry is a myth, ni kitu cha kufikirika ili kuhadaa na kutisha watu kwenye maisha yao kwa lengo la wahadahaji hao kujipatia manufaa fulani ama ya kisiasa au uchumi. lazima jamii iamke na kufuta hii dhana ya freemasonry kwenye vichwa vyao na wafanye mambo ya msingi. la sivyo hadaa ya freemasonry ndo itakua point of thinking kwa kila jambo linalotokea kitu ambacho hakitakiwi.
 
Back
Top Bottom