Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naombeni mnijuze maana mimi napenda sana kuiangalia picha za ngono na wakati naangalia najikuta nshashusha wazungu weupe
0 Reactions
17 Replies
49K Views
Habari wana Jf, Napata taabu sana inapofikia muda wa kufanya zoezi la usafi kunyoa makwapani na sehemu za siri napata muwasho sana. Nimejaribu kutumia aina tofauti za nyembe. Mashine za kunyolea...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Mimi ni kijana mdogo miaka kama 25 hivi, ila mpaka sasa nina mvi kuanzia kwenye ndevu hadi kichwani. Sitaki kujali sana juu ya hili ila nahitaji tu kufahamu hii inasababishwa na nini? Na pia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nguvu za kiume ni hali ya mwanaume kuimiri ushiriki tendo la ndoa kwa kiwango stahiki, Kwa nini nguvu za kiume zipungu; Kuna mambo kadha wa kadhaa yanayoweze kusababisha upungufu wa nguvu za...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Je dawa sahihi kwa tiba ya joints zisiume ni ipi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Kuna kakijana kangu kana miezi 7 sasa, aliwahi kunyolewa mara moja tu tangu amezaliwa akiwa na kama mwezi mmoja baada ya apo ukuaji wa nywele umekua wa kusuasua sana. Kwa sasa zimeota ila...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Habari ya jioni hii wakuu, Naomba ushauri na mchango wa mawazo. Ninaujauzito wa miezi 6, niimepatwa na ugonjwa wa kifua kubana na ninakohoa sana. Sijawahi kubanwa kifua kabla. nateseka sana hasa...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
Ndugu zangu wana JF naomba kujua nini tatizo kwa mwanamke kutokwa na damu kila anapofanya tendo la ndoa. Ukiangalia inakuwa sio mchubuko wala sio kuwa yuko period, unakuta tu uume ukiingiea...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tafadhali nisaidieni, juzi usiku nikiwa na maumivu makali ya kichwa nilikunywa diclopr 3 at once. Kwa bahati mbaya, jana jioni nikaanza kuumwa kichwa na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mji wa Mimba Mbegu toka kwa mwanaume Mbegu ya mwanaume haiwezi kukua na kuwa mtu bila processing ndani ya lab ya mwanamke Mwanamke ni laboratory kuu ambayo inafanya uwepo wetu utokane na overy...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Eti wakuu ni kweli mwanamke akiwa mwembamba sanaaa, au mnene sanaaa anakuwa katika hatari ya kushindwa kubeba mimba? Nini sababu yake?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwanangu anamiaka 2 nikimchapa au akikasirika akalia lazma atapike hata kama alikula Massa 6 yaliopita.sasa sijajua ni tatizo.hasira au nyongo imechafuka
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninajua mimi sio wa kwanza pengine kuna watu wengine humu mmesha expirience tatitzo kama la kwangu au inawezekana humu kunawataalam wanaoweza kunipa picha kidogo kabla sijaenda hospitali kubwa...
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Msaada wataalamu, Ukeni kunauma kama kunawaka moto hivi hasa wakati wa kufanya mapenzi na hata baada ya kumaliza, kila aina ya vipimo nimefanya sijapata ugonjwa wowote. Sasa inawezekana kuna...
2 Reactions
84 Replies
25K Views
WanaJF habari zenu, ni miaka kadhaa tangu nioe lakini najishangaa nilivyo kwa sababu ninauchu sana wakufanya mapenzi yani mpaka mama watoto ananiletea noma. Anasema nimezidisha maana kam ni amri...
1 Reactions
65 Replies
11K Views
Je, unajua Hydatidosis? Kwa kifupi ni ugonjwa unaomuathiri binadamu na wanyama tunaowafuga kama ng'ombe, kondoo na mbuzi. Ugonjwa huu huathiri zaidi maini, mapafu, moyo, bandama na wakati...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Natanguliza shukrani, Kitaalamu na kiafya uume kuwa mdogo sana kamawa mtoto mdogo ukilala lakini ukisimama inchi nane. Je hii ni hali ya kawaida ndugu zangu? Msaada tafadhali
0 Reactions
12 Replies
13K Views
WHO update on dengue outbreak in Tanzania, Situation as of 30.05.2014 This is an update on the confirmed dengue fever outbreak notified to the World Health Organization by the Ministry of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna mdada wa miaka 18 Ambaye amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa hali ya kwamba sehemu hiyo imefunga. Kwa ujuzi...
5 Reactions
76 Replies
8K Views
Hili swali limekuwa likinisumbua sana tangu nilipojifungua maana karibu watu wote wanaonizunguka huniambia kuwa sasa nitaanza kunenepa. Je, jambo hili ni la kweli? Au kuna uhusiano gani kati ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…