Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

OMEGA 3 SALMOIN OIL PLUS ****************** WHY omega 3 salmon oil?! *Binadamu huitaji kiwango kidogo tu cha mafuta ila wengi wetu hula zaidi. Tunahitaji 1g tu ya mafuta kwa siku ila wengine...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari Za Asubuhi. Nina Mdogo Wangu Ana Uvimbe Mkubwa Kwenye Paja Kwa Juu Karibia Na Makende. Uvimbe Huu Hua Unajirudia Rudia Ameshafanyiwa Operation Mara 2 Lakin Baada Ya Muda Kama Miez 3 Na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Leo nimeambiwa na daktari Kuwa sina damu ya kutosha wakati Mimi ninajiona niko sawa Kabisa; je tatizo linaweza Kuwa ni nini? Ninaomba ufafanuzi wa kitaalamu Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Tohara kwa jinsia ya kiume ina faida zifuatazo kiafya Inarahisisha kusafisha uume Inapunguza uwewezekano wa kupata maambukizi ya njia ya mkojo Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa...
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mr. Chen, mwanandoa mwenye umri wa miaka 44 na mkazi wa Zhejiang, nchini China, amegundulika kuwa alikuwa katika siku zake kama inavyokuwa kwa wanawake kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wa jukwaa letu la JF doctors? Jamani nimekata tamaa ya kupona macho, nimetembea kwenye hospital nyingi tu naambiwa hawaoni tatizo wananipa tu ushauri wa kula vyakula na matunda na pia...
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Wabongo wenzangu ambao mmeoa ngozi nyeupe labda mtakuwa mmekutana na tatizo hili pia. Mimi na mwenzangu tumejaaliwa kumpata mtoto wa kiume lakini naona sasa kuna clash ya culture hapa kwa kuwa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari zenu wana wa JF, Nahitaji kujua ni hosipitali gani sahihi kwa huduma ya kutahiri hapa Dar. Nahitaji mwanangu apate huduma hii nikiwa na imani kwamba watoa huduma sio makanjanja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana Jamii! Kwa kawaida watoto wadogo ni wepesi wa kupata usingizi baada ya matukio fulani mf. baada ya kunywa uji, wengine hupata usingizi baada kulia, wengine baada ya kubebwa tu, n.k...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari Jf doctor...Naombeni Masada katika hili.Nina mama mkwe wangu analalamika sana kupata maumivu ya moyo yani moyo unamuuma. Naomba kujua sababu na namna ya kulikabili tatizo hili.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
My best friend kabisa ameniambia he had a sex with a bitch juzi kati hiv. Sasa condom ikapasuka na wali do kama 30 or 40 seconds hiv. Then akaenda toilet akajisafisha and akasema aka urinate pia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
WanaJF nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa...
0 Reactions
178 Replies
27K Views
VEMMA NI BIDHAA 5 NDANI YA CHUPA 1 V= Vitamini aina 12 E= Essential M= Minerals aina 65 M= Mangostee - tunda Gacinia mangostana A= Alovera …+ Chai ya kijani (green tee) Hapa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana-jamiiforums naombeni mtoe mawazo yenu. Kuna mwanaume ameoa na ni baba ana watoto kadhaa,ila hafanyi tendo la ndoa na mkewe hata kwa mwezi inakuwa mara moja tu au mbili,ila kila siku...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Habari wadau, kwa siku 10 zilizopita nimekuwa nikijisikia mwili mzito na mara nyingi naskia mapigo ya moyo kama yanashtuka kila mra.Ni kweli nina uzito mkubwa,najitahid kufanya diet na mazoezi...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
KIJANA "ANG'OLEWA" MENO 232 Madaktari nchini India wametoa meno 232 kutoka katika mdomo wa kijana mwenye umri wa miaka 17, katika upasuaji uliochukua saa saba. Kijana huyo Ashik Gavai...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu! Tokea nianze kufanya mapenzi ni mara yangu ya sita sasa, lakini kadri siku zikisogea sioni uafadhali katika tendo. Huwa nasikia maumivu makali pale mboo iingiapo, maumivu ya kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa kama niko na tatizo au hali hii hutokea kwa wanaume wote, nikiwa na mpenzi wangu tukiwa tunafanya oral sex huwa natokwa na maji maji kwenye uume wangu yaaani kama nimevaa boxer...
0 Reactions
7 Replies
13K Views
Wanajamii naombeni msaada. Mimi ni mwanamke wa makamo. Nina tumbo kubwa (Kitambi) hivi kuna mtu ametumia Clean 9 na imemsaidia? Naomba anijuze ili nami niweze kuitumia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tatizo la kutoka vipele baada,ya kushave???husababishwa na nini na jinsi ya kujikinga,au kuzuia pale vinapotokea
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Back
Top Bottom