Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 351
Wabongo wenzangu ambao mmeoa ngozi nyeupe labda mtakuwa mmekutana na tatizo hili pia. Mimi na mwenzangu tumejaaliwa kumpata mtoto wa kiume lakini naona sasa kuna clash ya culture hapa kwa kuwa wazungu wanasema its barbaric, its cruel, its inhumane, etc,etc-
Wakati mimi kwenye kichwa changu kuna kitu kimoja tu- a man not circumcised is not a man! what do I do wakulu bearing on mind kwamba naishi ukweni na ndugu wa mtoto mwenyewe ni wazungu na mimi hapa nilipo niko peke yangu? So far defense yangu kila ninapoulizwa-" why should we do it?", naishia tu kusema- "eeh, its a cultural issue"
lakini I end up being told kwamba huyu mtoto sio lazima afuate mambo yote ya kitanzania kwa kuwa amezaliwa huku and its very likely kwamba ataishi huku maisha yake yote, what else do I say?