Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Waweza kupunguza sukari iliyozidi mwilini kwa bidhaa ya 'blood sugar and lipid-reducing tea. Bidhaa hii sio dawa ni virutubisho kwaio haina adhari zozote mwilini. box moja ni elfu 40...kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana Jf? Naomba msaada wa dawa asilia ya chunusi, Asanteni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jaman salam, Jamani nauliza eti jipu likitoka sehemu za siri za msichana huwa ni tatizo gani au ni dalili ya nini? Tafadhari naomba kujuzwa.
0 Reactions
12 Replies
27K Views
Siyo wote wenye vipara mitaani vinatokana na uasilia. wengine ni kutokana na magonjwa na wengine ni mawazo. KWA UFUPI Wataalamu mbalimbali duniani wamefanya utafiti juu ya sababu, chanzo na tiba...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
hallow wadau naomba kufaham mtoto anatakiwa kunyolewa baada ya mda gani na Kwa kutumia nini? naona ngozi yake laini sana
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Hii ni mara kwa mara napata hili tatizo nina muda mrefu sana zaidi ya miaka mitatu kajembe kalishapotea na ndani yake huwaga napata maumivu sana. Sasa saiv imefika sehemu nguvu za kiume...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Wataalamu, naomba msaada mtoto wa miaka 6 aling'oa meno ya mbele, yalivyoota tu yakawa na rangi kama ya kahawia, je tiba yake ni nn!? Nawakilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yani nikimeza tuu dawa hizi lazima nipate kizunguzungu na kichwa kuuma vibaya mno, pia nahisi kichefuchefu mbaya mno, kwa wataalam naombeni kama kuwa mtu anajua mbadala wa dawa hizi jamani...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nianze kuwapa pole kwa jukumu kubwa la kutoa elimu na ushauri juu ya afya zetu, ahsanteni sana. Kwa muda mrefu nimeishi bila ukucha wa kidole kikubwa cha mguu wangu baada ya kuathiriwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
niliugua magonjwa ya ngozi hapo nyuma nimepon a BT makovu yananisumbua je nitumie Dana gani
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Habar wadau hapa jamvini mimi niliwahi kung'oa jino la mbele miaka mitano iliopita nikawa natumia jino la bandia ila hivi karibuni nilisikia habar ya dental implant nikaona pengine ni nzur zaid...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama nilivyoandika kwenye heading ni kuwa mwenye uelewa juu ya dawa za macho za hospitali aje hapa kuna mambo nataka anijuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jion bandugu Kwanza nashukru kuniunganisha hapa, mie ndo kwanza naanza, kwahiyo km kutakuwa na makosa yoyote tusameheane. jaman nataka kueleweshwa kwa walio na ufahamu juu ya hizi...
0 Reactions
17 Replies
18K Views
Jana nilipokea mgeni toka mkoani ambaye toka nikutane nae muda wa saa kumi jioni alikuwa akinywa pombe aina ya konyagi iliyo ndani ya pakiti na alikunywa za kutosha mpaka akalewa kabisa. Tulipo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman naomba msaada ziwa la kushoto linawasha sana kuzunguka chuchu. Nn tatizo
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari! Nna Mdogo wangu wa kiume ambae amekuwa akisumbuliwa na ameoba muda mrefu sasa! Amekuwa akienda hospital na kuandikiwa dawa ambazo zimekuwa zikimsaidia Kwa muda mfupi then tatizo...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Habar wana jf, ninaomba kuuliza unapotumia kondomu wakati wa kufanya mapenz na mwenza wako jee unapunguza uwezekano wa kupata ukimwi au kama msichana ana ukimwi na ww pia waweza kuupata hata kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna rafiki Yangu Ameshauliwa Na Dk Atumie Vidonge Hivi Ili Kuregurate Homon Zake Baada Ya Kutoziona Siku Zake Kwa Kipindi Cha Miezi 2 Na Wiki 2 Baada Ya Kujifungua. Je Vidonge Hivi Vina Weza Kuwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
A newborn baby has died after being kissed by a mystery person with cold sores. Nancy Shayo born healthily on November 1 via caesarean but died just 24 days later after becoming infected with the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom