Uchafu km damu mwezi mmoja baada ya kuchoma sindano ya depo

Nov 26, 2014
31
0
Habari za jion bandugu
Kwanza nashukru kuniunganisha hapa, mie ndo kwanza naanza, kwahiyo km kutakuwa na makosa yoyote tusameheane.

jaman nataka kueleweshwa kwa walio na ufahamu juu ya hizi sindano za uzazi wa mpango (depo)

Hivi ukichoma sindano hizi kuna uwezekano wa kutokwa na uchafu mzito rangi km ya damu au brown na mwingine?

pia kuna uwezekano wa kutopata hedhi maana hili swala linanipa wasiwasi sana maana ndo mara ya kwanza.

Nahitaji msaada wenu juu ya hili

Natanguliza shukrani zangu
 
imanihope

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
376
225
Kutobreed ni moja ya uthibitisho dawa imekubali...kutoka uchafu ni moja pia kati ya maudhi ya depo ...yapo mazuri na mabaya mengi ni vyema ungeyajua kabla ya kuchoma pia kama umechoma pia unaweza kuyatafuta ukayapata kama itakudhuru huna budi kukubali kwani baada ya miezi mitatu utarecover(dawa kuisha nguvu) ingawa inaweza kupitiliza...ushauri wangu tafuta mshauri na mtaalamu wa afya ya uzazi aliye karibu nawe au nitafute range.emmanuel@yahoo.com

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
9,315
2,000
Ni kawaida sio kwa wanaotumia depoprovera injections tu hata njia nyingine za uzazi wa mpango kama implatants,spiral n.k na ni kwasababu hupati mzunguko wa hedhi wa kawaida kwahio unapata spots na inakuwa kama damu chafu inayotoka!
 
Nov 26, 2014
31
0
Kutobreed ni moja ya uthibitisho dawa imekubali...kutoka uchafu ni moja pia kati ya maudhi ya depo ...yapo mazuri na mabaya mengi ni vyema ungeyajua kabla ya kuchoma pia kama umechoma pia unaweza kuyatafuta ukayapata kama itakudhuru huna budi kukubali kwani baada ya miezi mitatu utarecover(dawa kuisha nguvu) ingawa inaweza kupitiliza...ushauri wangu tafuta mshauri na mtaalamu wa afya ya uzazi aliye karibu nawe au nitafute range.emmanuel@yahoo.com

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Asante sana kwa ushauri wako ntafanya hivo, kuhusu kutopata hedhi nilienda nilipochoma nikaambiwa ni kawaida
kuna wengune wanapata wengine hawapati.
 
Mafikizolo

JF-Expert Member
May 8, 2014
3,496
2,000
nilivyoona depo mie nikazani sijui depo gani huko,agaah kumbe nidepo sindano nilikua sijui mie but my time will tell nikifika huko lol
hizo ni side effect zake ila uende kumuona mtaalam wa masuala ya uzaz akupe mwangaza zaidi
 
majoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
2,274
2,000
Nakusihi sana. Nenda hospital mara moja. Hizo sindano hazikufai. Inaonekana ilipigwa kabla ya kufanyiwa uchunguzi yakinifu.
 
suregirl

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
6,070
1,225
nilivyoona depo mie nikazani sijui depo gani huko,agaah kumbe nidepo sindano nilikua sijui mie but my time will tell nikifika huko lol

Ahhha ulijua ccp nini??? Me pia sjafikia ila niliwah pewa elimu ya hiz mambo na haishauriw kama hujazaa hata mtoto mmoja
 
Mafikizolo

JF-Expert Member
May 8, 2014
3,496
2,000
mwenzangu weacha tu,nilijua alichomwa sindano akiwa depo ndo ikawa ya msababishia kuwa katika hali hiyo ila nilivyosoma uzi nikaelewa
Ahhha ulijua ccp nini??? Me pia sjafikia ila niliwah pewa elimu ya hiz mambo na haishauriw kama hujazaa hata mtoto mmoja
 
HALELUYA MOSHI

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
2,124
2,000
pole mdada! ndo ukubwa huo tena! ila ni vitu hatar sana njia salama zaid ni KALENDA tu..!
ila kama ur hubby ni muelewa na hatumii stimulators..!
 
Nov 26, 2014
31
0
Mrejesho
asanten wadau wote mlionishauri kwa namna moja au nyingine

Nilienda hospital nilikochoma hiyo sindano ya depo, nimeambiwa ni kawaida tuu maana ni matokeo ya sindano

Lkn najutia sana maana nimepoteza kabisa mpangilio wa siku zangu, na hivi inaisha 22 mwezi huu wa dec sirudii tenaaa

Halafu hivi kuhusu kurudi kawaida, je inachukua muda gani baada ya sindano kuisha muda wake? maana natamani sana nirudi km mwanzo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom