Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Naombeni msaada wa tatizo ninalokabiliana nalo tokea Sept 2012 hadi sasa. Nikilala siwezi kutumia upande wa kushoto na pindi nikifanya hivyo naona kila kitu kinazungunga mle chumbani na mara...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
nauliza kama dawa ya NASEPTIN inapatika hapa nchini na ina matumizi gani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Most likely especially for those desperately trying to come up with a perfect excuse to ditch the gym without having anyone accuse them of being quitters, researchers published a new report saying...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
JOB VACANCY TODAY 21/1/2015 THE FACILITY IS HEREBY TO ANOUNCE FOR ONE POSITION OF MIDWIFE NURSE WHO INTEND TO WORK WITH AGREEMENT OF BEING PAID THE SALARY WITH REGALD OF GOVERNMENT RANKING...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani linanitesa!! yani silioni, silifikii naugulia tu.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kuna dawa inaitwa naseptin je inapatikana wapi
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Habar. Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Kwa kuwa Mke wangu kanipigia sim akinieleza kaziona siku zake, Kinyume na mimi nilivyokua natarajia kuwa ni mjamzito, Wote ni wazima wa afya sijui ni...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Jamani mwenzenu nimepatwa na tatizo la kuwashwa sehemu za siri (mrija wa uume), jumapili nilitoka kufanya bila kinga, kwa wanaofahamu jaman huu inaweza kuwa ishu gani? Hospitali gan wanaweza...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Kuna watu inatutokea unaamka asubuhi na kukuta sehemu ya nywele kiachwani au kidevu ghafla zimenyolewa kwa mtindo wa Ki/vishilingi an nywele huchelewa sana kuota tena. Hii kisayasansi...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Kuna mtoto anasumbuliwa na utando mweupu kama vidonda mdomoni na inasadikiwa ni hatari ukishafika mkunduni.
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Ni miti mifupi sana inayojulikana na watu wa Tunduru kwaajili tiba nyingi toka enzi na enzi za wakazi wa Tunduru Ruvuma. Ni ngumu kupata jina lake kisayansi au katika kiswahili fasaha lakini kwa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Je wingi wa damu na maambukizi ya ukimwi vinauwiano?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
heshima kwenu wakuu. nini tiba ya hilo tatizo.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ishara za mwanzo kabisa za asidi kuunguzwa ndani katikati ya seli au kwa maneno mengine asidi kuzidi kwenye seli za mwili na madhara ya kijenetiki ambayo yanaweza kujionesha, ni maumivu...
2 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari zenu wandugu. Mimi ni binti nina miaka 24. Huwa inapofika siku zangu jaman huwa nakosa raha kabisaa na huwa sitamanii kwenda sehemu. Kwanza huwa nina blid siku 5-6, ninaweza nikaumwa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nilipata fungus ya sehemu ya tumbo usawa wa kitovu lakini kwa pembeni, kama miezi 6 iliyopita. Baada ya kutibu na kupona, na hiyo sehemu kukauka, pamebaki rangi nyeusi. Nafikiri ni kitu cha...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijiuliza nikitu gani kinachofanya mwili wa binadam kuwa na joto Kali kupita kiwango chake cha kawaida pindi anapoumwa malaria. ni nini kinachosababisha na Kama ni vijidudu vinapata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani nimeota mvi kichwan wakati mm bado kijana sasa cjui znasababishwa nin,ningependa kujua kama kuna dawa ya kuziondoa/kuzizuia zisiendelee kuota.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habarini wakuu! Njia gan naweza kuzitumia kuongeza kiasi cha sperm?,nini kina sababisha sperm kutoka kwa kiasi kidogo?na je kuna madhara yoyote yanayo weza kujitokeza kutokana na hari hii...
0 Reactions
23 Replies
12K Views
  • Closed
Habari za hapa wanaJF! Hivi kuna madhara yoyote ktk mwili iwapo utaamua kunyoa vinyweleo kwa kutumia wembe au hair remover? Pia kuna gene yoyote ambayo inahusika katika urithi wa vinyweleo kuwa...
0 Reactions
28 Replies
37K Views
Back
Top Bottom