Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Msaada tafadhali, Nimechoma sindano ya Tetenasi kwenye bega baada ya wiki moja kumetokea uvimbe na kunauma. Nifanyeje ili kuondoa uvimbe huo?
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Wataalam wa tiba naomba msaada wenu wa kunijuza chakula kinachoongeza wingi wa mbegu za kiume maana huwa natoa mbegu kidogo sana. Nafanya ngono almost kila siku, najua hiyo inachangia kupelekea...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
According to a research conducted over ten years on thousands of respondents, too much vitamins in the body pose the risk of one developing cancer and heart diseases. Experts have, therefore...
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Napata maumivu wakat wa kujisaidia haja kubwa maumivu kama ya mtu aliekula pili pili nyingi na muda mwingne nawashwa sana,takribani wiki ya pili sasa,najisaidia choo cha kawaida na sio...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa MWENYEZI MUNGU..kwakunipa PUMZI NA AFYA NJEMA. Wapenzi, nina Ndugu yangu ana bleed mwezi wa 3 mfululizo na maumivu makali sana ya Tumbo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Eatinginsects is considered as disgusting or even primitive in Western societies butelsewhere, 2 billion people consume insects on a regularly basis. Now,according to a report released by the UN...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Mzee wangu ana miaka 52. Tangu 2007 amekuwa akisumbuliwa na FIGO ameenda kutibiwa hadi Seliani. tatizo hii bado lipo; dalili zinazo onekana ni kushindwa kula, kushindwa kutembea, maumivu makali ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
The medical conditions that can turn a woman's sex life to AGONY: Many suffer in silence but could be helped by very simple treatments Dyspareunia - pain during sex - is a surprisingly common...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Napenda kutoa shukrani za dhati kwa watu wote walonishauri kipindi nlipohtaji kujua kuhusu afya yangu ya uzazi na mke wangu alikua hajashika mimba kwa mda mrefu, mke wangu ameshika ujauzito mwezi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello wana JF,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?.... Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....! Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF, Naomba msaada; masikio yangu yanawasha sana. Nimetumia pamba stick kusafisha mara kwa mara ila hali ni ile ile, wala hayatoi uchafu ila yanawasha kwa ndani tu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wandgu mimi nmbuliwa sana na maumiu ya kiuno haijalishi niko kwenye iku zangu sipo kwenye siku zangu hata nikijinyoosha nasikia maumivu ni mwaka sasa npata haya maumivu nimeshafanya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mke wangu alijifungua yapata wiki ya tatu sasa. Bahati mbaya, mtoto hakuwa riziki. Sasa maziwa yamekuwa yanajaa na kumwagika. Afanyaje ili yakauke na yasiendelee kutoka?
0 Reactions
28 Replies
38K Views
Habari za Jumapili wakuu! Kwasasa tuna mtoto wa kike mwenye umri wa miezi saba, juzi mama mtoto wangu kafanya vipimo kakutwa na mimba ya wiki tatu. Naombeni ushauri, hasa namna ya kuhandle hali...
2 Reactions
45 Replies
16K Views
Kuna mtu anapata black spots usoni vinakuwa na kusambaa usoni, huwa anasumbuliwa sana na mionz ya jua...ametumia mafuta mbalimbali hata wanayo tumia ma albino lakin hayajamsaidia...ushauri wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu habarini za muda huu... Kuna dawa naiskia sana ya nguv za kiume ambayo n mchanganyiko wa asali mdalasin na kitunguu swaumu. Je dawa hii inatumukaje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Msaada tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Ni siku nyingi kidogo nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada mmoja hapa Tanzania lakini tangu nimeanza naye uhusiano sijawi kumpa hata shilingi yeye huwa anasema ananipenda sana na angependa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nipo Dar es salaam, Nilitaka kupata mawasiliano au taarifa ya daktari wa ngozi au DERMATOLOGIST yeyote kwa hapa Dar au hata alieyeko DODOMA! Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello wana Jf,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?.... Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....! Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom