kbosho JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 13,073 Reaction score 6,642 Apr 26, 2015 #1 Hello wana Jf,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?.... Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....! Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka?..... Mwenye tatizo hili anatakiwa kutumia vyakula gani?.....
Hello wana Jf,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?.... Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....! Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka?..... Mwenye tatizo hili anatakiwa kutumia vyakula gani?.....