Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Tafadhali nijulisheni dawa ya kuponya tatizo la NYONGO mwilini. Je tatizo la nyongo ndilo heartburn kwa Kiingereza? naomba msaada.
0 Reactions
53 Replies
46K Views
Leo ktk maswali na majibu juu ya suala la Upungufu wa kinga mwilini,daktari wa kipindi cha radio hiyo aliulizwa,je,mtu mwenye virusi akishiriki tendo la ndoa na mwenza asie na virusi anaweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kujua inawezekana mwanamke kukosa kisi.mi kama hajakeketwa? Msaada tafadhali
0 Reactions
37 Replies
12K Views
​ Leo ktk maswali na majibu juu ya suala la Upungufu wa kinga mwilini katika kipindi cha radio moja,daktari wa kipindi cha radio hiyo aliulizwa,je,mtu mwenye virusi akishiriki tendo la ndoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani madokta mtujuze kuhusu hili, ni chakula au dawa mjamzito akitumia mtoto atazaliwa ana nywele nyingi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF naomba kuuliza ni wapi hapa Dar es Salaam hospitali nzuri kwa ajili ya huduma za kliniki kwa wanawake wajawazito ... nilikuwa na mpango wa kwenda Marie Stopes lakini naambiwa sio wazuri...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Amani iwe kwenu, Naomba mnujuze kuna uhusiano gani kati ya wasiwasi au hofu na kuanza kuuma kwa tumbo? Kwanini nimeuliza hivi, Ni mara nyingi hii hali hunikuta . Pia hata ndugu zangu huwakuta...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Msaada tafadhali, Je, kuna madhara yeyote ya chumvi kwa mtoto anayenyonya, mwenye umri chini ya miez 6? Hii nimeikuta Ugweno hukoo, mama alojifungua anapewa chakula cha bila chumvi anaambiwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Naomba kusaidiwa katika hili,niko kwenye dozi ya clomid, lakini kila nikimeza dawa hizi nahisi maumivu katika mguu wangu wa kulia kwa chini,yaani kile cha kukanyagia,je kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau, Naombe mnisaidie namna ya kutoa kifupa cha samaki kooni. Nimekula samaki, sasa kifupa kinakwaruza kooni noma.
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Wadau, Naombeni ushauri wenu, Mm ni Kijana wa 33yrs, nimefanyiwa upasuaji wa tumbo ikiwa ni pamoja na kuondolewa kidole tumbo,(Apendex) ila na utumbo ulikuwa na shida hivyo walinipasua kuanzia...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Jaman kunautafiti flan ambao na mi nimeufuatilia nimeona inawezekana unaukwer. kua % kubwa ya wanawake wanaopata UTI ni wanajihusissha sana na Ngono kwa njia ya mdomo yaan wanaita kuzamwa chumvin...
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Habari wakuu. Nina ujauzito wa miezi kama miwili. Leo nashangaa kuna siku zangu. Ni nini shida na nifanyeje. Uwiii.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kwa ufupi Kumekuwepo na taarifa kuhusu uwezo wa mafuta ya nazi kutibu ugonjwa wa kusahau unaowakumba wazee uitwao ‘Alzheimer's disease' wakati huohuo ikiripotiwa kuwa baadhi ya dawa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa...
0 Reactions
44 Replies
35K Views
Habari doctors, Kuna dawa nyingi ambazo mtu na hasa mtoto anapewa kama hana ile hamu ya kula na kigezo ikiwa ni minyoo...so anapewa dawa ili apate hamu ya chakula. Swali langu ni, Je hakuna dawa...
0 Reactions
15 Replies
17K Views
Nina tatizo la kuwasha ndani ya pua na kuchubuka. Pua zangu huwa kavu ndani bila unyevunyevu, hali inayopelekea kuwasha na kusababisha nitumie vidole kujikwangua na kusabisha kujichubua...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jamani mwenzenu naumwa balaa na hivyo viwili yaani nimelala tu siku nzima. Namafua makali sana na nasikia baridi balaa.
1 Reactions
55 Replies
9K Views
Back
Top Bottom