Habarini wakuu.
Nimeona hili nilete humu manake majukwaa mengine watu wako bize na siasa najua humu lazima ntapata msaada wa mawazo.
Mimi ni me nimeoa nina mwaka mmoja na nusu sasa lakini katika...
Habari wadau, sababu ya kupishana kwa majibu ya ultrasound ni nini? Mwanzo yalionyesha EDD n tar 22/10/2015 mimba ikiwa na miez mi4.
Na sasa inaonyesha tar 22/11/2015.
Msaada tafadhari. Asante...
Kichwa Cha Habari KIMESHAJITOSHELEZA. Tokea Kampeni Za Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Huu Zianze Sijapata Choo au Haja Kubwa Na Muda Mwingi Sana Tumbo Langu Limekuwa Linaunguruma Tu Huku Nikibadili Hali...
AFRIMEC ni huduma mpya inayokupa medical consultation mbalimbali ambapo utaweza kuwasiliana na madaktari bingwa katika kada tofauti tofauti kupitia katika mtandao wa internet na utaskilizwa na...
Ni matumaini yangu kuwa upo vizuri kiafya na kiakili pia unaendelea vema na kazi za ujenzi wa taifa. Mimi nashukuru ninaendelea vema na kazi zangu za kila siku.
Leo napendelea kushirikisha jamii...
Jamani mie ninatatizo la kukosa pumzi pindi nitembeapo kwa muda mrefu na hata nikikaa tu najikuta napumua kwa shida na mapigo ya moyo uenda mbio.
Tatizo ni nini na tiba ni ipi?
Nimeona watu wengi wanakamblia kutibiwa nje ya nchi kutokana na kukosekana na huduma sahihi ama wataalamu wa kuwatibu!
Je, unafikiri ukiumwa ugonjwa gani hapa Tanzania ni sawa tu umehukumiwa...
Jamani mi naomba kueleweshwa madhara ya kiafya/kisaikolojia kuhusu watu (waume/wake) ambao kwao kutumia njia ya haja kubwa kwa mapenzi ni kawaida.Mfano nilipokuwa A-level miaka ya nyuma tulikuwa...
Habari wanaa jukwaa,
Tatizo langu nina sauti ndogo yani kama ya kike nini tatizo au jinsi gani ya wezwa kubadilishwa maana mpaka kero sasa, hasa hasa kwa mabinti kunidongoa kuwa nina elements za...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza,
Kiafya mtoto mdogo ambaye hajatimiza mwezi mmoja anatakiwa alazwe staili gani, chali, kifudifudi au ubavu?
Dr. MziziMkavu tafadhali ushauri wako unahitajia hapa
Wana JF ni vizuri kujua hili please,
Subject: FW: BREAST CANCER-NEW INFO(bottle)
U R G E N T
WARN ALL WOMEN....
Bottled water in your car.....very dangerous!!!!
This is how Sheryl Crow got...
Naomba msaada kuna mtoto amepofuka ghafla umri wake ni miaka 18 ilitokea ghafla jicho moja likaanza kupoteza sight hadi leo hii haoni na lingine limeanza mchezo huo.
Naomba kufahamu tatizo ni...