Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Ikiwa umejaaliwa uume mrefu na mnene, Je ni kweli ukikutana na msichana unaweza sogeza kizazi chake na kupelekea kutozaa kabisa? Tafadhali majibu yenu ni muhimu kwa wenye taaluma.
0 Reactions
22 Replies
58K Views
Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada. Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao. Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Yaani sijajua ni sumu fulani kwenye ile sindani au ni aina yake kutokana na dawa ile au maana ukichomwa ile sindano lazima jeraha litaota usaha kidogo na muwasho alafu baadae linakuwa kovu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wanaJF, mimi ni kijana niliyekuwa ninajichunga na kuijali sana afya yangu kiasi cha kuwa na mabox ya vipimo vya H.I.V rapid test ghetto, ikiwa kama nimejichanganya basi nawahi dawa za PrEP...
29 Reactions
266 Replies
22K Views
Wakuu naweza pata dawa gani ya kuponyesha mdomo wangu unauma ni kila kitu cha moto ...na ulimi pia unauma upande mmoja wa kulia...kuna mtu kaniambia labda sina vitamins. Ulimi unauma kama umekatwa...
3 Reactions
17 Replies
950 Views
Hello!!! Habari za jioni madactari na nurses,mwezi wa kwanza nilipata hedhi yangu tarehe 10(10/1/2025) mwezi wa pili huu nimeanza kupata hedhi yangu jana saa 11 Asubuhi ,je? Nina mzunguko wa siku...
6 Reactions
13 Replies
4K Views
๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—”๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฑ๐˜€ Matumizi ya Airpods za wireless na Earphones || headphones za waya nchini Tanzania yamekua makubwa sana kwa watumiaji wengi. ukiwa unatembea njiani...
0 Reactions
8 Replies
903 Views
Ukiachalia mbali wanawake, tatizo la harufu mbaya sehemu za siri ni changamoto inayowasumbua wanaume wengi pia duniani. Harufu mbaya kwenye sehemu za siri kwa mwanaume inaweza kusababishwa na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
The #1 Brain Doctor Reveals the Shocking Parenting Mistake Ruining Kids' Brains & How Alcohol Decimates Yours Are your everyday habits shrinking your brain? In 2024, "brain rot" wasn't just...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fangasi miguuni (nyungunyungu) au athlete's foot kwa jina la kitaalamu, ni tatizo linalowasumbua baadhi ya watu. Watu wenye tatizo hili mara nyingi hujikuta wakitumia tiba mbalimbali za kisasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kuusu ubora wa bidhaa za rapid test za kampuni ya KAS iliopo Dar es salaam.
0 Reactions
1 Replies
254 Views
โ€œWale watu wanaokula mara nyingi, wanaokula mara kwa mara wanakuwa hawana muda wa kuunguza mafuta. Wanaofunga muda mrefu wanakuwa na muda mrefu pia wa kuunguza mafuta ya Mwili. Kuna magonjwa mengi...
8 Reactions
96 Replies
4K Views
โ€œMara ya mwisho mimi kunywa Juisi au Soda ni Mwaka 2000. Iko hivi, kuna tofauti kubwa ya kula chungwa na kunywa juisi ya Chungwa. Nikinywa Juisi nakunywa Sukari moja kwa moja hata kama haijawekewa...
3 Reactions
8 Replies
762 Views
Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke hujulikana kitaalamu kama dyspareunia. Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa nyakati tofauti. Maumivu haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
wanawake tunapitia hali ngumu sana hasa inapofika zile siku maalumu. Ni dawa ipi nzuri au kitu gani kinaweza kufanyika kupunguza maumivu?
15 Reactions
210 Replies
6K Views
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja...
6 Reactions
197 Replies
179K Views
Poleni na majukumu wadau wa afya. Nina changamoto moja ambayo inamsumbua mke wangu kwa kipindi cha miezi mitatu sasa. Ana dalili zote za mimba ambayo haikui na tukipima hospitali vipimo...
1 Reactions
5 Replies
712 Views
Jamani habari za humu ndani, Nina mtu anadate na mdogo wangu, ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupizi hata siku moja, na mzee anapachimba kwa mda wa lisaa au dakika 55 bad luck...
4 Reactions
84 Replies
13K Views
Wakuu habarini za weekend nisipteze muda sasa ni wiki ya tatu sasa napata kiungulia kikali, kizungu zungu yaani kuna muda nikisimama kama naona naanguka hivi, lips zinauma mara nyingine...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu sijui siku hizi nimepatwa na shida gani maana ninaposhiriki tendo la ndoa sipati msisimko kabisa ninapofika kwenye mshindo/ ninapomwaga/ ninapofunga goli. Yaani ninaweza kuanza tendo vizuri...
5 Reactions
121 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ