Uume mrefu/mnene una madhara gani?

mwepesi

Senior Member
Jan 27, 2016
156
95
Ikiwa umejaaliwa uume mrefu na mnene, Je ni kweli ukikutana na msichana unaweza sogeza kizazi chake na kupelekea kutozaa kabisa?

Tafadhali majibu yenu ni muhimu kwa wenye taaluma.

savr.jpg
 
Kuanzia kwenye mlango mpaka kiZazi kilipo ni inchi 6,na mara nyingi wastani wa dhakari ni inchi 5.8 ' sasa kama hiyo dhakari ikizidi urefu inasogeza kizazi!Kwahiyo wanao enjoy ndoa ni wale wanaochapwa na dhakari fupi za "wasambaa" maana zinakuna engo zote kwa juu juu,
 
Mapenzi ya kweli nizaidi ya uume na uke mada hii inaongelea ngono ila mahaba ya dhati even deep kiss mwenzako anajisikia yupo dunia nyingine
 
Inategemea una urefu gani na una upana gani, ndio mana wanaume wengine huekewa ring na madr. ni kwasabab wamepitiliza naweza sema ni kama kilema, sasa kwa mtu kama huyu upo uwezekano wa kumletea madhara mwenzake kwa maumivu, lakin kama ni hizi kubwa na nene za kawaida wala hazina tatizo anapita mtoto itakuja kuwa hako, maumbile ya kike yanatanuka, muhim uwe hodari wa kumlainisha mwenza wako kabla ya tendo ili usimchane na kumletea maumivu, huo ndo ufahamu wangu
 
Halafu hizi stori zenu za sijui kuwekewa ring sijui nini mkawasimulie hao washamba. Nani kawekewa ring weka picha na muache stori za vijiweni.
 
mliosoma biology, sehemu zinazo husika na mapenzi hazipo Kule ndani, kule ndani ukienda utakuta sehemu za uzazi, sehemu zinazompa mwanamke raha ni pale mlangoni hadi nje pembeni mwa mlango, hivyo kijiko kirefu hakifai, Ila kijiko kinene chafaa zaidi. hakuna kijiko kirefu cha kutoboa sufuria sema tuu unakua usumbufu kwa sababu urefu hausaidii kuleta utamu kwa mwanamke.
 
Back
Top Bottom