BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Habari wanaJf?
Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka...
Afya ya akili ni miongoni mwa mada zinazopuuzwa, zisizozungumzwa vya kutosha, pia zenye wataalamu wabobezi wachache sana kwa Tanzania. Lakini pia ni mada ngumu kuzungumzwa kutokana na kukosa...
Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi.
Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19...
HABARI WANA JAMII FORUM
Naomba kuuliza kua kuna ukweli wowote juu ya mazoezi ya jelqing au Arabic milking ambayo yanadaiwa kuongeza ukubwa wa uume
Je kweli haya mazoezi yanafanya kazi...
Katika harakati za maisha nikakutana na mdada anatokea nchi fulani sitaitaja. Yule mdada alikuwa anakunywa dawa za kuongeza damu, folic acid, vitamin B supplements na nyingine sikuzitambua...
Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2...
Habar wakuu msaada wenu bint yangu wa mwaka mmoja anakohoa sana usiku tumejaribu kumpa dawa na kwenda hospital dawa hazijasaidia kitu...anakohoa Hadi inaogopesha ,,na mchana mara Chache hukohoa
nimepimwa mkojo na kinyesi hakuna kitu,madaktari wakapendekeza kuwa ni gesi actually first natumia dawa za gesi nilikuwa natoa upepo kwa kiasi kikubwa na hata nikijaribu kufanya mazoezi ni same...
Kunywa maji ya moto asubuhi kunaweza kuwa na faida nyingi kwa afya yako.
Hapa kuna baadhi ya faida zake:
1. Husaidia Kusafisha Mwili (Detoxification) Maji ya moto yanaweza kusaidia kusafisha...
Kuna kiungo Cha kupikia ni kama chumvi au ndimu, hiki kiungo ni kemikali hutumika majumbani na kwenye mapishi ya biashara kwenye bar na migahawa.
Kinajulikana kwa jina la Ajinamoto, ndugu...
?
1) X-rays hutumia mionzi ya umeme kutoa picha za mifupa na miundo mikavu ndani ya mwili. Kawaida hutumiwa kugundua mavunjo, maambukizo, vimbe, na matatizo mengine. X-rays ni za haraka, bei...
DOKTA: "Kabla ya kukupatia majibu ya vipimo vyako vya VVU, naomba kwanza nikupe ushauri nasaha".
MGONJWA (Kimoyo moyo): "Lo! Neema ushaniambukiza ugonjwa wako. Kama sio Neema ni Halima".
DOKTA...
Habari zenu wanajamvi,
Naomba kueleweshwa kitu, mwanangu ana miezi minne toka kuzaliwa lakini mpaka sasa shingo yake haijakaza je ni kawaida au? Lakini ni mchangamfu sana yuko vizuri ni hilo la...
Habari wakuu,
Nilikuwa nauliza Kwa mtu mwenye bawasiri na hataki kufanya oparesheni ya kukata maana nasikia wanafanyaga hivo wengine.
Dawa asili au zozote za kumeza au kupaka ili kupona huu...
Hatua ya kwanza: Miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito
1. Panga kuonana na mkunga wako
Mara baada ya kujua una ujauzito, mjuliswhe daktari wako ili uweze kupanga kuonana naye. Kwenda na wakati ni...
Ikiwa umejaaliwa uume mrefu na mnene, Je ni kweli ukikutana na msichana unaweza sogeza kizazi chake na kupelekea kutozaa kabisa?
Tafadhali majibu yenu ni muhimu kwa wenye taaluma.
Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada.
Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao.
Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.