Nikipaka dawa ya kuchua itakuaje?

Nikipaka dawa ya kuchua itakuaje?

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
447
Reaction score
233
Habari zenu wanajamvi

Juzi kwenye mazoezi mpira ulinipiga kwenye dushelele langu, hivyo linauma sana dushe langu,
Je nikipaka Volini inaweza kusaidia kupunguza maumivu?

Karibuni
 
Back
Top Bottom