Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari Za kutwa ndugu wana Jf, naomba kufahamu juu ya hili swala mpenz wangu ana AB+ namimi Nina 0+ Je, hapa kuna tatizo lolote katika safari ya kutafuta mtoto
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau kabla ya kumwaga sperm au mbegu za kiume,kuna maji maji meupe utoka Yale maji ni muhimu sana maana yana acid, ile acid inapoingia ukeni ambako kuna maji maji yeye base Acid + base= water na...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Mama mwenye maambukiz ya Ukimwi, kukamua maziwa na kuyachemsha kumpatia mtoto wake kunaweza kusiwe na madhala kwa mtoto? Mtoto anaumri wa miez mitatu ameanzishiwa Maziwa ya ng'ombe. Nijuzen...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini humu, Nilifanyiwa operesheni ya kutoa tonses toka mwezi wa tatu 2017. Hadi leo sina test ya chochote. Nisaidieni nitakuwa vizuri baada ya muda gani? Sina namba ya doctor wangu na yuko...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ijue Faida ya kula samaki SAMAKI (FISH) • Huyayusha damu, huifanya kuwa nyepesi • Huilinda mishipa ya damu isiharibike • Huzuia damu kuganda • Hushusha shinikizo la damu • Hupunguza hatari...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna njia ya ku_strengthen Na kuiongeza dhakari nimeisoma makala hiyo "juzikati" hiyo njia inaitwa Jelqing method Je kuna yoyote mwenye kujua zaidi juu ya hiyo method nipate juzwa zaidi nanyi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu wasalaam. Wife ana ujauzito wa wiki 8..tatizo kila aakila lazima arudishe chenji.Kuna shagake kamshauri eti atumie sijui vidonge gani vya kukata kichefuchefu, je ni salama kutumia vidonge...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Habari ndugu zangu,miaka 10 iliyopita Jino la mwisho taya la chini 'wisdom tooth ,lilimeguka nikaenda muhimbili wakapiga xray. Lilikuwa limeota vibaya kitaalamu (horizontal 3 molar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mtoto wangu anaugonjwa wa jipu ambalo likiiva na ukalikamua baada ya miezi mitatu linaludia tena nimejaribu kumpeleka hospital kunawakati dawa alizo pewa...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Aman iwe kwenu wakuu. Wakuu nina ujauzito wa week40, lakini mpaka sasa naona kimyaaa mambo hayaja nichanganyia, napata maumivu sna hasa ya kiuno na mgongo. Je nikawaida niendelee kuvumilia au...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Jamani mi naomba nieleweshwe kwa wale watu wa biology. Kuna mdada aliekuwa mpenzi wangu kashajifungua mtoto ana kama miaka miwili hivi na sio siri yule mtoto anafanana na mimi aslimia mia ila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamvi habari za siku. Naombeni msaada wa namna ya kupata mtoto wa kike kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28.
0 Reactions
12 Replies
21K Views
Habari zenu wana JF. Kwa moyo mkunjufu napenda kutangaza nia yangu ya kutaka kuoa. Sitanii wala sina mpango huo kabisa. Najua zipo namna nyingi za Mungu kumkutanisha mtu na mke wake. Na...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Naomba kuelekezwa kuna bidhaa nahitaji kutoka kwa hawa watu wa forever living nitawapata wapi mjini hapa i mean makao yao makuu DSM naomba kuelekezwa
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu na madaktari mliopo jamvini. Naomba mnijuze. Nina mjomba wangu ana miaka karibu 90 na amefanyiwa vipimo na kuonekana kuna maji katika kichwa chake yaliyosababishwa na mgando wa damu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HIV kirusi kinafahamika kwa jina la retrovirus jamii ya Lentivirus,RNA ,spherical shape,diameter of 80-100nm. africa klipewa jina la hiv kutokana na tabia yake ya kuharibu kinga haraka sana zaid...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama uzi tajwa hapo naomba kujuzwa madhara ya diclopar Kama kidonge cha kutuliza maumivu mfano mtu anapoumwa na Jino akiweka kwenye jino linalouma Mara...
0 Reactions
39 Replies
19K Views
Habari wakuu Nimekua nikisumbuliwa na tatizo usoni la nyama zilizotoka baada YA makovu YA chunusi.. (keloidi) Naomba kujua namna YA kuondoa tatizo hilo Ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana body naomba kujua dawa sahihi ya ngozi kuanzisha vijiuvimbe vinavyo washa then vinakua kadri siku zinavyo endelea. Kitaalamu huu ugonjwa unaitwa(KELOID).Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…