Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Natanguliza Shukurani zangu kwa wote mtakaonisaidia kwa majibu yenu ya Kimatibabu ili nami niweze kumuokoa kama siyo hata kumsaidia Mgonjwa wangu. Nina Bibi yangu anasumbuliwa mno na tatizo la...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu mm in kjana Nina Mke sina hata mimba ya kusinguziwa kitaa ,nmeona utofauti kdogo kwa wife ,mimba ya wiki inaweza onekana? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
34K Views
Habari za mida wadau, Leo katika pitapita zangu huku kijijini nikakuta mahali AMREF wameweka mahema yao wanatoa huduma za kupima magonjwa kama HIV, TB, Cancer, tezi dume, n.k bure. Kwa kuwa...
4 Reactions
63 Replies
27K Views
Nimejaribu kucheki sana internet, nimegundua kitu inaitwa candida ni aina ya fungus fulani hivi. Nimepaa ni kwanini ugonjwa uo unawapata watu. Japo mara nyingi unakuta mtu anautando mweupe...
1 Reactions
24 Replies
53K Views
Je unasumbiliwa na upele(acne)?? Upele hasa sehemu za uso huharibu mwenekao wa mtu hivyo wengi wanaweza tumia dawa au mafuta kuondoa viupele.. Sasa Leo nmekuletea somo kuhusu upele...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
habari za hapa wanajukwaa wenzangu samahani ningependa kujua kama kuna madhara yoyote yatakayompata mwanaume endapo atajichelewesha kumwaga wazungu kwa makusudi wakati wa tendo la ndoa nauliza...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Unaelewa nini kuhusu kiungulia ambacho kwa kitaalamu huitwa Heartburn..!!?? Bonyeza link hapo juu ujifunze kitu kipya kuhusu kiungulia(heartburn). √Sababu √Dalili √ Tiba kwa...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangallah BAADA ya hivi karibuni dawa mpya ya kupambana na Virusi Vya UKimwi kugundulika na kuanza kutumika nchini Kenya, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
0 Reactions
13 Replies
19K Views
Wakuu heshima kwenu. Hivi karibuni nimesikia watuhumiwa wa ufisadi na uhujumu uchumi singasinga Harbinder Sethi na Manji Yusuf kuwa ni wagonjwa na wanahitaji matibabu ya haraka kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mke wangu amepimwa amkutwa na uvimbe kwenye Ovary ya kulia dokta anasema inabidi afanyiwe surgery Kwa wale wenye utaalam na hili swala naomba msada wenu hivi hakuna dawa anazoweza kutumia uvimbe...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepona
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Salaam wanabodi, Napenda kuwataarifu juu ya ujio wa madaktari bingwa wa MIFUPA, FIGO, MOYO, SARATANI (CANCER) na MFUMO WA MKOJO kutoka Narayana Health Hospitals-India. Madaktari hawa bingwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Madaktari tafadhali nisaidieni. Mwanangu anaumwa macho yapata mwezi sasa. Yamekuwa mekundu na yanatoa machozi muda wote na pia ndani kuna usaha. Hospitali dozi kapewa lakini hajapona kabisa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu hivi kawaida ya hedhi,kuvuja hasa huu mwezi Mke wangu imekuja kwa matone matone tu siku ya kwanza kdogo sana ya pili Ndyo kabsa hamna. By mm. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamvi Ni wazi kuwa Ugonjwa wa dengu Umekuwa hatari na umesababisha vifo vya watu we hapa nchini hasa Dares-salaam na umeendelea kusambaa mikoa ya Tanga ,pwani na zanzibar. Pamoja na...
2 Reactions
26 Replies
16K Views
Habari wana jf doctor. Ninayo furaha kubwa sana kuwajulisha na kuwashukuru wote kwa wawazo yenu nilipoleta tatizo langu la kichwa. Wengi mlinishauri kuwahi hospitalini, nilifanya hivyo lakini...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba msaada maana mwenza wangu analazimisha nimnunulie magic ashevie nywele za ukeni lakini mimi napatwa na wasi wasi nahisi labda anaweza kupata madhara Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
189 Replies
23K Views
Unafahamu fistula huwapata pia wanaume? Madaktari bingwa wa upasuaji wa magonjwa ya njia ya mkojo wamesema ajali, saratani ya kibofu na magonjwa ya njia ya mkojo yamekuwa sababu za kasi ya kukua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau habari za muda huu? Ndugu zangu kuna dada yangu alijifungua miezi miwili na wiki mbili nyuma kwa operation, wiki mbili hivi akiwa ameenda kutafuta huduma ya kupanga uzazi aliomba kwanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu heshima yenu....naombeni tafsiri ya majibu yangu baada ya kufanya kipimo cha sperm analysis....ninampango wa kupeleka kwa daktari na shemeji yenu but nataka nijue nini maana ya haya majibu...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…