UJUMBE KUTOKA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA MAFUNZO YA HOSPITALI CHA LAGOS (LUTH)
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake...
Samahanini ndugu zangu naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana na badae kuishi hivyo hivyo bila kutenganishwa.
Vipi kwa mfano likitokea donda upande wa mmoja je namwenzake...
Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha sasa yapata...
*A chat with Dr. Devi Shetty, Narayana Hrudayalaya (Famous Heart Specialist) Bangalore, was arranged by WIPRO for its employees. The transcript of the chat is given below. Useful for everyone.*...
Wasalam,
Madaktari naomba msaada, nimekuwa nakunywa maji na kukojoa kila wakati. Kiu inakuwa Kali kiasi nahisi kuchanganyikiwa midomo inakuwa kama imekauka hivi na dawa pekee ni maji, nakunywa...
Habarini za mchana wana JF, wajuzi katika jukwaa la JF Doctor.
Nimekuwa muathirika na huu mfumo wa hewa ya kutengenezwa....
Nilikuwa na weusi ambao kwa namna moja nilijivunia pamoja na kuwavutia...
Kwenye thread hii nawalenga wanajf wa mkoani kilimanjaro waliojiunga na Bima ya afya ya Jamii Afya inayosimamiwa na Vodacom na Jubilee Insurance.
Kwa mkoani kilimanjaro zimeteuliwa hospitali za...
Habari zenu wakuu!
Niende kwenye mada naomba kujua uhusiano uliopo Kati ya mkojo na mimba nikiwa namaanisha kwamba, mwanamke anapohisi ana mimba basi akienda kupima ili kuthibitisha hisia zake...
Nina shida sana na hormone hii: Human chorionic gonadotropin (hCG) au Gonadotropin- releasing hormone (GnRH). Nahitaji mojawapo. Naomba kujua nitapata wapi na zinauzwa kwa jina gani kibiashara...
Kisukari ni ugonjwa ambao unatishia maisha ya watu wengi duniani na Tanzania.Kwa bahati mbaya tumefundishwa kwamba mtu akishapata Kisukari ni death sentence. Madaktari uchwara wanasema it is...
Greatings my fellow members!
Naomba kuuliza,is it possible for someone to be a vineral diseases carrier?
Is it possible to cure the disease? Which prescription is best for these diseases?
I am...
Pilipili kichaa inaweza kustawi sehemu mbalimbali na inahitaji siku 100 za ukuwaji.
Hustawi zaidi kwenye mazingira ya joto na unyevunyevu.Mmea huu hukua kufikia urefu wa futi mbili hadi nne...
SOMO LA 23
AFYA YA MENO
clion odhiambo , contacts : odhiamboclion@gmail.com : BE BLESSED
Utangulizi
MENO YALIYOOZA YANATIBIKA.
Meno kuoza ni ugonjwa ambao umeathiri rika zote kwa sasa, si...
"Scrotal massaging increases sperm count and sperm reabsorption"
Ukifanya massaji ya korodani kunaongeza sperm count kwa kupunguza congention katika vimirija ambako sperm zinatengenezwa, hii...
Ugonjwa wa HIV/AIDS umekuwa janga kubwa sana duniani kwa sasa kutokana kuathiri watu wengi na kukosekana kwa tiba ya ugonjwa huu. Maambukizi ya ugonjwa wa HIV/AIDS hufahamika kama maambukizi ya...
Habari wana JF. ninaomba yeyote anayejua daktari wa mifupa anifahamishe tafadhali miguu ndio inasumbua, au hospitali ambayo nitapata matibabu mazuri. Kuna daktari nimeelekezwa pale Muhimbili ila...
22 Septemba 2017
Mshirikishe mwenzako
Majaribio ya kinga kinga hiyo ya mwili kwa binadamu yataanza kufanyika mwaka 2018 kuangalia kama dawa hiyo inaweza kuzuwia ama kutibu maambukiziya HIV...
Sijui ni kwanini Madaktari wanapenda sana kusema kuwa Mgonjwa fulani yupo Critical but Stable lakini baadae ukija kuchunguza zaidi utakuta tayari huyo Mgonjwa ameshaonyesha dalili zote za Kukata...