1. Usinywe maji ya moto baada ya kula chakula.
2. Usinywe maji ya baridi.
3. Usile vitunguu maji na kitunguu thaum kwa pamoja.
4. Usile kitu kikali halafu hapo hapo ukanywa maziwa ni hatari.
5...
Habari zenu wandugu,
Ni muda mrefu nilikuwa kimya lakini yote ni katika harakati za utafutaji ukizingatia utawala huu hakuna tena zile dili za upigaji.
Niende kwenye mada,
Nina mdada ambaye...
Wapendwa habari zenu mie mgeni mwenzenu naomba kujua hili etii vile vifaa vya kupima ujauzito, jina la kitaalamu silijui vina mstari wa blue na red vinatumika kipindi kipi haswa i mean,kuanzia...
Assalamu alaikum, Leo nipeonelea kutoa mada hii maana tatizo hili linawakumba wanawake mbali mbali kwasababu mbali mbali ikiwemo
Hormone imbalanced
Utumiaji wa dawa za upangaji uzazi.
Matatizo ya...
Habari wakubwa.? Jino lanisumbua Sana nakosa raha kabisa! Please tupeane msaada na maelezo pia mana nimetoa juzi na Leo mawili yanasumbua tena nini tiba ya hili?
Naomba kuulza dawa inayoweza saidia kutibu skin asthma au eczema au allegy ya ngoz ambayo imekuwa chronic..? Maeneo alyopo kumpata doctor wa ngozi ni ngumu naamni umu tunaweza pata msaada!
Habari wadau,nilipokuwa mwanza tarehe 28,Jully ulikuwa siku ya homa ya ini duniani,nikaona kwenye fb wamepost ila sikujua kazi yao nini hasa hadi sasa mwenye kujua anijuze jamani
Assalamu alaikum.
Leo napenda kutoa faida ya mtu anae matatizo ya MAUMIVU YA VIUNGO. Kabla sijatoa tiba Mara nyingi tatizo hili linasababishwa na baridi na wale wanapendelea sana kula Nyama...
Pumu ya Ngozi ni nini ?
Pumu ya Ngozi ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha kuvimba kwa ngozi (inflammation). Hii huambatana na ngozi kuwasha, kuwa nyekundu, kavu, vipele na mabaka.
Ugonjwa huu ni...
Kuna swali limetokea kunifikirisha sana, nalo ni hili:
Nini kinasababisha uvimbe/kuvimba(swelling). Ninahitaji kufahamu the process of swelling.
Najua zipo sababu nyingi za kuvimba, mfano...
Mama angu anasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo ameshatumia sana dawa za hospital, msaada kwa anaye jua dawa za asili ili nijaribu kumpa nazo msaada wenu wana jamii!!![emoji33]
Kupata tatizo la kichefuchefu na kutapika katika hatua za awali za ujauzito hasa asubuhi, ni jambo la kawaida linaloweza kudumu mpaka wiki ya 14 ya ujauzito na kuisha lenyewe bila tiba.
Iwapo...
Ukweli wa kufahamu kuhusu nimonia
Kifo kimoja katika vifo vitano vya watoto wa umri wa chini ya miaka 5 husababishwa na nimonia.
Kikohozi, mafua, kuwashwa koo na kutiririsha makamasi ni mambo ya...
Kutokana na kalenda ya maradhi iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), Oktoba ni maalumu kwa ajili ya kuongeza uelewa kuhusu saratani ya matiti. Nikiwa daktari, binafsi naupenda mwezi huu...
Wanajamvi na watalaam mwenye kujua dawa, nawashwa mwili mzima halafu vinatokea kama alama za ukurutu/kuungua, dawa nilzotumia hadi sasa bila mafanikio ni hycorum cream, dexamed tablets na dettol...
Imebainika kuwa ku ejaculate angalau mara 21 kwa mwezi kunaepusha na kutopata Prostate cancer ukilinganisha na anaye ejaculate mara 4-7 kwa mwezi.
My Take.
Tuchukue tahadhari kabla ya hatari...
Habari wadau wa mijadala !!!
Ninajambo la kiafya linanitatiza sana japo mie si muathirika wa jambo hilo.
Tatizo la mapafu kujaaa maji linasababishwa na nn?? Au ndo unywaji maji kupita kiasi?? Na...