Msaada: Dawa ya kuondoka maumivu ya kichwa kwa haraka


Sigara Kali

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Messages
2,073
Likes
4,099
Points
280
Sigara Kali

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined May 28, 2017
2,073 4,099 280
Salaam wana taaluma ya afya
Jana nimekua nasumbuliwa na kichwa tangu juzi,Jana jioni nikaenda kupima nkakutwa na malaria 4
Nkaanza dozi ya malafin na panadol,but hadi sasa kichwa kinauma hasa upande wa kulia kina gonga sana hadi kupata usingizi sipati,so msaada wenu mnitajie dawa nzuri ya kutuliza maumivu ya kichwa kwa haraka
Asanteni
 
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
996
Likes
665
Points
180
Age
37
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
996 665 180
Mara nyingine wanashauri pima na uwingi wa damu pia,kwa ushauri zaidi nenda hospital.
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
5,605
Likes
12,610
Points
280
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
5,605 12,610 280
Hata panadol zinatuliza haraka...kula chakula meza hizo dawa halafu kunywa maji mengi then pumzika(jaribu kulala usingizi)
Ukiamka kitakuwa kimepoa
 
S

siti ya mbele

Senior Member
Joined
May 3, 2017
Messages
184
Likes
137
Points
60
S

siti ya mbele

Senior Member
Joined May 3, 2017
184 137 60
Diclopar MR itakusaidia
 
D

Donasian kabengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Messages
312
Likes
130
Points
60
Age
58
D

Donasian kabengo

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2016
312 130 60
Hedex
 

Forum statistics

Threads 1,251,186
Members 481,615
Posts 29,761,628