Wale wataalamu wa kutumia miti shamba kwa ajili ya tiba

de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
732
742
Wakuu salamu zenu

Wa Tanzania wenzangu kuna ndugu yangu anasumbuliwa sana na skio kuziba.Tumekwenda hospitalini tatizo wanalomwambia ni uchafu(wax material) ktk skio l
Umejaa,wakampa dawa inaitwa BORIC ACID ambayo ni suruhisho.

Lakini tangu atumie yapata week sasa tatizo liko pale pale sikio bado limeziba.

Wandugu pengne tuangalie upande wa kushoto wa dawa za mitishamba ambayo inatuzunguka pengne inaweza kuwa mwarobaini wa hili tatizo lake

OMBI LANGU: kwa yeyote mwana jamii forum mwenzangu kama unajua pengine mitishamba mfano; MATAWI YA MITI ,MIZIZI N.K.
Ambayo yanaweza msaidia huyu ndugu aepukane na hili tatizo tafadhari share na mm ujumbe huu ili Ndugu huyu ajiskie ahueni.
 
ngoja na mimi nitazama kwenye encyclopedia yangu ya tiba mbadala naweza kuja na kitu cha kusaidia kesho...
 
Ajaribu mkojo wa punda,ama pia ajaribu mmea wa bangi.
Note:Mimi nilishawahi tibiwa na hivyo hapo juu but nikiwa na umri kati ya 5-7.
 
Nashkuru sana mkuu
mkuu samahani kwa kuchelewa kutoa maoni kama nilivyoahidi.
baada ya kupitia rejea kadhaa huu ndio ushauri nilioupata kuhusu tatizo la rafiki yako.

::::::::::::::::::::::::::::::::::::

-Usitumie vitu vya ncha kali kama sehemu ya kusafisha hiyo nta iliyozidi unaweza kuharibu ngoma ya sikio.
-atumie vitu laini vinavyoweza kuilainisha. mfano glycerin au hydrogen peroxide. matone mawili kila sikio na kuacha yatiririke nje . ile inayobaki italainisha hiyo wax .zoezi hilo lifanyike kwa siku kadhaa

Njia nyingine mbadala ya kuisafisha...
tumia eyedropper kuingiza matone mawili ya mchanganyiko wa maji na vineger mara tatu kwa siku. kama hiyo nta ni ngumu saana weka mafuta ya vitunguu swaumu iilainishe kwa muda wa siku moja au mbili. kisha uoshe na kwa maji ya vguvgu kiasi ila yasiingie kwa presha. endelea kwa uvumilivu baadae itatoka.

KINGINE TAFUTA KITU KINAITWA EARCANDLe ambao huwa unamaelekezo jinsi ya kutumia kwa msaada wa mtu wa pembeni.
hiyo nta niya muhimu sana kwenye sikio. kama ukafanikiwa na kuhisi imetoka nyingi unaweza kuweka pamba masikioni ili ijijenge kiasi.

Kama tatizo ni la asili kuwa muhusika anatoa nta zaidi ya inayohitajika.
inashauriwa kutumia vitamin C (500mg, mara tatu kwa siku) kwa muda wa miezi sita sikio halitaweza kabisa kutoa nta ya zaidi ya wastani.

maoni hayo nadhani unaweza kuokotaokota points.
 
Nashukuru sana ndugu yangu
 
Ajaribu mkojo wa punda,ama pia ajaribu mmea wa bangi.
Note:Mimi nilishawahi tibiwa na hivyo hapo juu but nikiwa na umri kati ya 5-7.
Mkuu sikio kitu kingine sio cha mchezo mchezo kujaribu kila dawa
 
Weka maelezo ya kutosha! Sikio linauma? Linatoa uchafu? Au linakuwaje? Maana kuna wale wagonjwa wa masikio siku hizi hayaumi wala kutoa uchafu badala yake yanaunguruma tu mda wote!
 
mkuu samahani kwa kuchelewa kutoa maoni kama nilivyoahidi.
baada ya kupitia rejea kadhaa huu ndio ushauri nilioupata kuhusu tatizo la rafiki yako.

::::::::::::::::::::::::::::::::::::

-Usitumie vitu vya ncha kali kama sehemu ya kusafisha hiyo nta iliyozidi unaweza kuharibu ngoma ya sikio.
-atumie vitu laini vinavyoweza kuilainisha. mfano glycerin au hydrogen peroxide. matone mawili kila sikio na kuacha yatiririke nje . ile inayobaki italainisha hiyo wax .zoezi hilo lifanyike kwa siku kadhaa

Njia nyingine mbadala ya kuisafisha...
tumia eyedropper kuingiza matone mawili ya mchanganyiko wa maji na vineger mara tatu kwa siku. kama hiyo nta ni ngumu saana weka mafuta ya vitunguu swaumu iilainishe kwa muda wa siku moja au mbili. kisha uoshe na kwa maji ya vguvgu kiasi ila yasiingie kwa presha. endelea kwa uvumilivu baadae itatoka.

KINGINE TAFUTA KITU KINAITWA EARCANDLe ambao huwa unamaelekezo jinsi ya kutumia kwa msaada wa mtu wa pembeni.
hiyo nta niya muhimu sana kwenye sikio. kama ukafanikiwa na kuhisi imetoka nyingi unaweza kuweka pamba masikioni ili ijijenge kiasi.

Kama tatizo ni la asili kuwa muhusika anatoa nta zaidi ya inayohitajika.
inashauriwa kutumia vitamin C (500mg, mara tatu kwa siku) kwa muda wa miezi sita sikio halitaweza kabisa kutoa nta ya zaidi ya wastani.

maoni hayo nadhani unaweza kuokotaokota points.
MKUU NISAIDIE DAWA YA MAKOOZI YAPO KOONI LAKINI HAYATOKI NA WALA SIKOHOI NILIAMBIWA EITHER NI ALERG YA VUMBI LAKINI MPAKA SASA HAIJAISHA NINI MBADALA MKUU NISAIDIE NIYATOE KABISA
 
hapo kwenye mafuta ya kuku nishawahi sikia. Sasa yakupasa kutafuta anaetaga ndio mwenye mafuta mengi ili kupungu za gharama za kula kuku daily!
 
Back
Top Bottom