Utafiti unaendela kuhusu matumizi ya bangi athari zake na faida yake.
Cha kushangaza kuna wasomi wazito wamegundua kuwa Bangi au Canabis ikitumika katika jamii tokea enzi za mitume ikiwemo enzi za...
wadau kama mlivyosikia kuwa serikali imepata kibali kutoka NIMRI kufanya majaribio ya dawa ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI,wakiwa na mpango wakuanza na mikoa 14 ikiwemo mkoa wa mbeya huku wakilenga...
Nimekua nikiskia kama stori tuu ila sina uhakika.Ivi ni kweli kua wakati WA usiku kuku huwa anakua na Sumu mdomoni mwake kwaajiri ya kujirinda?
Anaefahamu naomba anisaidie tafadhari.
Waungwana leo nimeufya nimekutana na hili JANGA sasa vijana wenzangu hapa baada ya bint mwenyewe kunieleza ukweli na kunionesha Card ya Clinik ndipo nimeamini ila ndio wakati nimeshaanza...
Ndugu wapendwa, naomba msaada wa hii inaweza kuwa nini. Ninapata KIUNGULIA kikali kooni pindi ninapokula maharage. Kawaida KIUNGULIA kina kuwa kwenye kifua. Nikiacha kula maharage hali hiyo...
Wadau ivi maumivu ya mishipa sehemu za uume na mishipa inayoshabiana na Kende husababishwa na nini maana nilikuwa napiga sana nyeto sasaivi nimeacha napata hali hii sasa jee Tatizo hili litaacha...
kumekuwapo na njia mbali mbali za kubashiri jinsia ya mtoto alieko ndani ya tumbo la mama mjamzito,baadhi wamekua wakisema eti mimba ikisumbua sana(mjamzito kupata shida mara kwa mara) ujue ni...
Habari wana jamvi eeti kuna uwezekano wa kuchagua jinsia ya mtoto mana kuna rafiki yangu anawatoto wa kike pekee anatamani angepata wakiume hajui afanyeje ....?
Leon Bahati, Moshi
WANASAYANSI wa Tanzania wameandika historia mpya ya kipekee duniani, baada ya kufanikisha utafiti utakaowezesha upatikanaji wa chanjo na tiba ya Ukimwi.Utafiti huo...
Taarifa nilizozipata toka kwa kina mama, zinasema wanawake wengi wa kichaga wavivu wa Ku-push na hata kama akipushi hizo kelele zake basi wodi nzima itajua yaani ni, Yesuuuu na Maria, Kiruuuuuu za...
Habari Jf.
Tarehe 11/2/2013 niliwahi kuandika hapa kuhusu tatizo langu la kutopata mtoto kwa muda mrefu. Wengi mliguswa na tatizo langu na mlijitoa kunishauri na kuniagizia kwa madaktari bingwa...
Sammy meals production ..tunakuletea unga wa lishe maalumu kwa ajili ya mama mwenye maziwa kidogo au hapati kabisa pia ni tiba ya kiungulia kwa mama mjazito..wasiliana nasi kwa 0767 626990 au 0752...