Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wanajamvi naombeni mnijuze, kuna madhara gani yanayoletwa na uvutaji wa kaya? mentally and physically, na kama kuna faida yake, wenye ujuzi na hili jamani tunaomba mtufunze nasi. ======== Tumekua...
0 Reactions
63 Replies
77K Views
Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume jamani Naombeni mnielekeze dawa ya kutibu hili tatzo wapendwa.
1 Reactions
46 Replies
23K Views
Ningependa nitoe maoni yangu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza nikilenga magonjwa aina mbili kisukari na shinikizo la juu la damu. Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la magonjwa haya hususani kipindi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kutafakari kwa kina nimegundua UKIMWI sio ugonjwa ila ni biashara ya big pharmaceutical industries. Hebu jaribu kufatilia na wewe, kwanini ugonjwa huu umepewa kipaumbele kikubwa hivyo na...
14 Reactions
154 Replies
18K Views
Ana ujauzito wa miezi 5,nimejaribu kwenda hospitali mara kazaa wanasema ni hali ya kawaida.japo mtoto anacheza vizuri tu ila hii hali inanifanya nikose amani.kwani kabla ya hapo huku nyuma...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nahitaj kujua daktari mzuri wa kinamama hapa Dar es Salaam. Awe anatumia NHIF nahitaji msaada ikiwezekana na contact ili niweke appointment ya kumuona
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya kujamiana na MTU mwenye magonjwa ya ngono unachukua muda Gani dalili kuonekana kwenye uume? Maana duu, Msaada wenu ni muhimu wajuzi Muwe na asubuhi njema
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wenye tatizo la tezi dume ni pm nikuelekeze kutengeneza dawa bure au nitext whatssap kwa namba 0628944712 nikuelekeze kutengeneza dawa bila malipo hata ya shilingi moja. Ukihitaji...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Naomba mnisaidie dawa ya chunis
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini!? Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa tatizo ni kuwa sina hamu tena na tendo sina kabisa sijisikii chochote...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Haemophilia nini sababu na jinsi yya kuepuka machapisho mengi naona yako kwa lugha ya malkia ambayo sielewi vizuri.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Doctors hi,samahani et UTI inaweza kuathiri mfumo wa uzazi?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu na poleni kwa majukumu Naombeni ushauri wenu, nina kiuvimbe shingoni upande wa kulia kimenitokea toka mwezi wa 3 mpaka leo hakijaisha. Pia naskia maumivu kwenye koo kama vile na...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Habari wadau ! Nina sumbuliwa na vijipele kama hivo kwenye sehem ya haja kubwa madaktar wa humu naomba mnisaidie dawa au ushauri manake haviumi ila kuna muda vinawasha tu ! Msaada tafadhali...
2 Reactions
55 Replies
9K Views
habarini jamvini
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Wadau wa afya salam. Nini chanzo cha mtoto kuwa na kitovu kikubwa kama puto? Na je, mtu akisha kuwa na kitovu hicho, kuna dawa ya kukifanya kiwe kidogo? Mtu anaweza fanyiwa upasuaji kukiondoa...
1 Reactions
21 Replies
50K Views
Wakuu hii link nimeitoa sehem, yupo jamaa anakiri dawa yake ya 3deops inatibu magonjwa mengi gusa link uingie muulize chochote kuhus magonjwa na tiba njoo tujifunze kwa pamojaCLICK TO JOIN...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello wakuu, naomba kuuliza hivi mbona siku za hivi karibuni matangazo redioni ya kupima na kuanza kutumia ARVs mapema yamekuwa mengi sana na haipiti sekunde, tangazo hilo hapo, mbaya zaidi kwa...
0 Reactions
2 Replies
678 Views
Hello Jf Nina mtoto ana miezi miwili, siku ya leo amenisumbua mno. Anakua kama kuna kitu kinamkera sababu halii ila anajikuna kichwani na kukunja sura nikichelewa kumshika analia japo sio kwa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau habari za kazi, Naombeni msaada, nina binti yangu wa miaka 8 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa. Akianza kuwashwa anajikuna sana,tumeisha enda baadhi ya hospitali lakini bado ufumbuzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…