Friendly bacteria wanaishi mwilini lakini hawana madhara na wana faida nyingi. Friendly bacteria wana
1. Imarisha kinga ya mwili na huzuia cell division ambayo ndiyo chanzo cha kuenea kwa cancer...
Wengi tunafahanu umuhimu wa watoto kunyonya maziwa ya mama hasa katika miezi sita ya kwanza baada ya kuzaliwa. Maziwa ya mama ni muhimu kwa ku activate immune system ya mtoto,
Bahati mbaya kuna...
Mada tajwa hapo juu,naomba msaada kwa walio na ujuzi kwa hili..!Mke wangu amepasukiwa na chupa ya uzazi na mtoto kufariki naye hali yake si nzuri kuanzia ijumaa ya 10/8/2018.Jana jumatatu ameanza...
Hi Jf doctors
Nimeshtuka juzi hapa naona mvi 3 kwenye ndevu wakati ndevu zenyewe za mawazo.
Nimeuliza watu wanasema eti na dalaili ya kua na hela mingiii.
Haziwezi kuwa nyingi kidevuni?
Hazina...
Napata hamu siku Niko period tu .ikiisha wala sijiskii hata.japo sina mtu ila hamu iwepo jamani nijione mkamilifu.naombeni tiba isiwe mayai yameisha huko ndani.
Kula na kunywa katika masaa machache za kwanza
Kina mama wengi huwa tayari kula mara baada ya kujifungua, na ni vizuri kwao kula aina yoyote ya lishe bora wanataka. Ikiwa mama ambaye anazaa mara...
Kwa kifupi ni kwamba kuna vishilingi veupe ambavyo huongezeka ukubwa lakini haviumi , vinanitoka mara kwa mara upande wa kulia wa kinywa changu, nimeenda hospital nimetumia dawa nyingi tu lkn huja...
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa kutambua athari, faida na namna sahihi ya matumizi ya chai itengenezwayo na mmea wa roselle maarufu kama
Hibiscus kwa mwanamke mjamzito wa miezi 6>.
Nipeni...
Habari za mihangaiko ndugu zangu wa humu ndani...
Naomba kujua kama hili jambo kama huwa linatokea kwa kila mtu, huwa nikitafuna JoJo kwa mda mrefu huwa nahisi njaa hata kama nimekula mda mfupi...
Ni inaniuma Sana Sana nikimwangalia dogo.Nimehakiki kuwa ni kweli dogo amezaliwa na maambukizi.Sasa naomba msaada wa kama wa uangalizi wa karibu na huduma.Ndo Kwanza yupo darasa la pili. Yupo...
Habari Wana JF!
Nimekuja na swali la kitabibu na natumai wana Jf wenye ufahamu juu ya hilo watanipatia majibu stahiki.
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kuenea kama si kukua kwa ungojwa...
Habarini!
Nimepata tatizo tajwa hapo juu tangiwa nikiwa form five 2017 kwenye mwezi wa tatu. Nikaenda mnazi mmoja pale nikamwelezea Doctor,aliniandikia dawa na kunihasa nifanye mazoezi. Ila tatizo...
Nimekuwa na tatizo la Mmba mgongoni kwa muda mrefu, zilianza kama mabaka niliyapata nikiwa nafanya mazoezi, benchi nililokuwa nalalia kwenye mazoezi lilinikwangua likaacha michubuko baadae...
Figo zina jukumu kubwa katika mwili, siyo tu kuchuja uchafu kwenye damu ili kuepukana nao, pia kuratibu madini yaliyomo ndani ya damu, shinikizo la damu na kuchochea uzalishaji wa chembechembe...
Nasumbuliwa na endometritis,nimetumia sindano aina ya powercef lkn tangu nilipoanza kutumia sijapata hedhi ya mwezi huu na pia kula yangu ni ya shida sana,nimekuwa mtu wa kuchukia chakula na pia...
Naomba ushauli kuhusu ndugu yangu.
Anasumbuliwa na pumzi kutokufika kwenye moyo.ameshapimwa presha,x ray na ultrasound. Majibu Hakuna ugonjwa.
Ukimtazama ana afya nzuri natatizo hili likumshika...
Habari za leo Wakuu?
Naomba msaada kwa hili , Je Mwanaume na Mwanamke wanapotaka kukutana kimwili Mwanaume anaweza kuvaa Kondom Mbili kwa wakati mmoja ili kujikinga zaidi na maradhi?
Jamani mimi ninatatizo la uzazi, mirija ya uzazi imeziba siwezi kupata mtoto. Ndoa yangu ipo matatani, daktari amesema mrija mmoja umeziba na mwingine ni mild.
Amenipa dawa nitumie kwa miezi...
7 Dont's after a Meal
1. Don't smoke- Experiment from experts proves that smoking a cigarette after meal is comparable to smoking 10 cigarettes (chances of cancer is higher).
2. Don't eat...