Anasumbuliwa na pumzi kutokufika kwenye moyo

abbasmbassa

New Member
Aug 1, 2018
4
2
Naomba ushauli kuhusu ndugu yangu.

Anasumbuliwa na pumzi kutokufika kwenye moyo.ameshapimwa presha,x ray na ultrasound. Majibu Hakuna ugonjwa.

Ukimtazama ana afya nzuri natatizo hili likumshika miguu hukoswa nguvu na hufa ganzi.
 
Jaribuni pia na kumpatia huduma za kiroho kulingana na imani yake, haya mambo ya duniani unaweza kuta katupiwa mambo ya kishirikina.
 
Jaribuni pia na kumpatia huduma za kiroho kulingana na imani yake, haya mambo ya duniani unaweza kuta katupiwa mambo ya kishirikina.
Umenena vyema mkuu,Nina jamaa yangu alipata stroke kabisa,hospital wanasema hawaoni kitu.Alianza kushinda kabisa,hadi Leo amemwona MUNGU
 
Mkuu Pumzi Haifiki Kweny Moyo Ndio Nin??
Sema Dalili Mfano: Kifua Kinauma, Anashindwa Kupumua Au Anakohoa.

Ukitaja Dalili Tutajua Shida Na Kupata Njia Sahihi Ya Kukushauri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom