Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Daktari nguli toka Zambia ametoa tamko kupitia Facebook ambalo wapenda punyeto huenda wakalifurahia sana. Binafsi sina facts za kisayansi kumpinga ila kulingana na ongezeko la wauza dawa za nguvu...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu nasumbuliwa na maumivu makali upande mmoja wa uso kwenye shavu karibu na sikio. Maumivu haya yanakuja kila baada ya kupita muda fulani inaweza ikawa nusu saa, lisaa au masaa kadhaa, yakija...
6 Reactions
17 Replies
407 Views
Mambo vipendhy Husika na mada apo juu je, macho yanachangia na mtu kujiskia kichwa kizito? Mda mwengine kama kupata kizunguzungu mda huo huo ninavyojiskia hivyo na macho pia huwa kama yanavuta...
3 Reactions
6 Replies
265 Views
Habari za wakati huu wapendwa,Naomba niwaelezee tatizo langu pengine mnaweza kunisaidia Nina shida moja sijui ni aleji ama ni nini maana niliwai enda hosptal ya wilaya hawakuona tatizo,pia kipato...
2 Reactions
6 Replies
240 Views
AINA ZA NGOZI. Kuna aina nne za ngozi ya binadamu: 1.Ngozi ya kawaida (normal skin) Hii ni ngozi ambayo ina mafuta na unyevu wa kawaida kwa ajili ya ustawi mzuri wa ngozi,hivyo huwa ni ngozi...
3 Reactions
143 Replies
50K Views
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni: 1. Saratani (Cancer) 2. Vidonda vya tumbo 3. Kisukari Ongezeeni mengine hapo
22 Reactions
217 Replies
11K Views
Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Wapi naweza pata wataalamu wakushtua viungo vilivyokaza kawa huyu kwenye hii video (TikTok) https://vt.tiktok.com/ZSm4c6jjn/
0 Reactions
4 Replies
210 Views
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema, kama mtoto wa kiume unaenda haja kubwa mzigo hautengenezi kakichuguu kadogo basi una utapiamulo. Watoto wa kiume tuleni tushibe, tulinde na heshima zetu.
3 Reactions
17 Replies
740 Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa ROMBO MKUU naomba kuelezea kero ya hospitali ya HURUMA. Hospitali hii imekuwa ikiajiri wanafunzi waliohitimu masomo ya vyuoni ambao hawana experience ya kutosha katika kufanya...
1 Reactions
8 Replies
307 Views
Ipo hivi wakuu, kuna ndugu yangu ana tatizo la HOMA YA INI(Hepatitis B) kwa muda mrefu sasa zaidi ya miaka kumi sasa ila ukimcheki yupo fresh tu. Tulienda Muhimbili akapimwa akapangiwa clinic kwa...
3 Reactions
109 Replies
14K Views
Habar wakuu nimeambiwa Nina UTI nimepewa dawa amosclave na Panadol nin nifanye kutoa protein kwenye mkojo na dawa ipi sahihi kwa UTI kali
5 Reactions
18 Replies
494 Views
Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi...
4 Reactions
67 Replies
786 Views
Tujifunze kidogo kuhusu hili Maumivu au kufa ganzi meno kwasababu ya sauti ya mkwaruzo wa vitu (Sound Induced Dental Sensitivity) ni tatizo ambalo limekuwa likiwapata baadhi ya watu inapotokea...
11 Reactions
24 Replies
586 Views
Wakuu habari za kwenu njooni munipe muongozo juzi kati nilikutwa na h-pylori kipimo kilotumika ni cha damu,nikapewa dawa za kutumia amoxicillin,metronidazole na pantroprazole nimetumia siku 8...
3 Reactions
10 Replies
253 Views
A 33-year-old man from Malaysia has officially earned a Guinness World Record for the most teeth in a male mouth — 42 teeth. Most adults normally have 32 permanent teeth, including wisdom teeth...
3 Reactions
3 Replies
323 Views
Shilajit ni lishe iliyo kama gundi nyeusi ambayo inavunwa kwenye milima ya Himalaya. Ladha yake ni uchungu na utam kwa mbali, inayovutika ukichota kwa kijiko. Faida za shilajit 1. Kuimarisha...
1 Reactions
2 Replies
250 Views
Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
4 Reactions
16 Replies
470 Views
Ashwagandha ni tiba asili ya kihindi iliyojizolea umaarufu mkubwa kutibu changamoto nyingi za kiafya. Mmea huu unazalishwa zaidi Mashariki ya kati, Asia na hata Africa ya magharibi. Faida za...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Dawa ni ya asili imezalisha india kwa ajili ya kutibu uvimbe kenye kizazi na kenye mfuko wa mayai. Pia dawa inasaidia kurekebisha homoni na hedhi. Dozi moja ya Zandu kanchnar guggul ina vidonge...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…