Wakuu habari zenu,
Shemeji au wifi yenu ni mjamzito karibu anafunga mwezi wa tatu. Mimba bado ni changa.
Kuanzia mimba ilipotimiza miezi miwili amekuwa akilalamika sana tumbo kumuuma kwenye...
Kutokana na mada ya hapo juu je, upungufu wa hiyo hormone unasababishwa na nini. Je, watu wapi hasa inawapata watoto, vijana, wazee na kama kijana imempata inaweza kurudi ikawa kawaida manake ni...
Habari wakuu
Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV
Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake...
Wadau,
Tatizo hili ni kubwa tena sana na wajanja ni wengi wanalia watu hela zao. Mie ni mmoja wa waathirika wa hili tatizo na nimetumia mitishamba sana na sijawahi kupona hili Tatizo. Wengi au...
Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi
Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.
Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za siri.
Hamu inakata ghafla Mara baada ya...
Mwaka jana nilipost hapa kuhusiana na rafki yangu aliepata ajali na kupoteza nguvu za kiume, kupelakea ndoa yake kutaka kuvunjika, sote tunaelewa kwmba waganga weng siku hizi ni waongo, tulienda...
Habari wapendwa?
Kama mada ilivo hapo juu yakuwa tuna baadhi ya wahudumu wa mahabara akikuhudumia haweki jina lake kabisa pale panapotakiwa jina lake, je huu ni wizi pia au kuna nini nyuma ya...
Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale waliomaliza majukumu yao ya uzazi.
Tatizo linapojitokeza huleta athari nyingi kwa mwanamke...
Habari Wana jamvi,
Msongo wa mawazo na huzuni ni jambo ambalo karibia kila mtu anapitia, ila pengine tunatofautiana ujasili na jinsi ya kukabiliana na changamoto za kila siku.
Kumekua na matukio...
Habari,
Mtoto wangu ana miaka 2.3 anaenda 2.4 haongei, nashindwa elewa hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Alipokua mchanga tuliona ulimi kile kidude cha chini nadhan wanaita udata kama...
Komamanga ni mojawapo ya matunda yaliyodumu duniani kwa karne nyingi sana, kisayansi huitwa Punica granatum.
Virutubisho
Huwa na muunganiko mkubwa wa kemikali za phenolics, flavonoids...
Habari za Muda huu wapendwa, naomba kujua nitumie Nini kuponya jicho lililovimba na linauma pia, nimeamka tu asubuhi nimejikuta hivyo ila nahisi ni kutokana na vumbi la siku mbili tatu zilizopita...
Habari wana jf, nina mjomba ambaye Ana tatizo la kisukari, kwa sasa Ana kidonda ktka mguu ambacho kilitokana na kuchomwa sindano.
Naomba kujua kama kuna mtu ambaye amewahi kupitia changamoto hii...
Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbalimbali lakini ugonjwa huiponi.
Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma...
Maldives!
Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal?
Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones...
Habari,
Nina tatizo la kupata maumivu baada ya tendo la ndoa(sex). Uume unakuwa na maumivu mno. Hasa kwenye mlija wa mkojo. Ambao upo ndan ya uume.
Nimepime damu na mkojo nimeambiwa nipo sawa...