Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Machungwa yamejaa vitamini na madini, lakini je, yanaweza kuzuia homa? Tunaangazia kwa undani jinsi matunda haya yanaweza kuchangia ustawi wa afya yako. Machungwa ni nini? Chungwa ni tunda la...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano. Kinacho...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Waswahili husema, ‘nyumba ni choo’, wakiwa na maana kuwa nyumba haiwezi kuwa kamili bila kuwa na huduma hiyo ya choo. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wa choo, lakini si kila nyumba iliyo na choo...
4 Reactions
73 Replies
18K Views
Habar wakuu baba yangu anataka kwenda kufanyiwa operation ya kuzibua mishipa ya moyo JKCI..vip wakuu kwa uzoefu wenu kwa yoyote amabae amefanyiwa hii operation
0 Reactions
2 Replies
394 Views
Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora. Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinjwaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatikana ndani yake. Zabibu pia inaweza kutumika kwa madhumuni ya matibabu katika...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Baadhi ya watu wengi, wanapotayarisha matunda na mboga mboga wana mazoea ya huzimenya. Hata hivyo, mara nyingi sio lazima. Kuna virutubisho muhimu kwenye maganda. Kando na hilo, maganda ya matunda...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Maelezo ya picha, Mwanamke akila burger na vibanzi Mwanamke ambaye ana mazoea ya kula vyakula vyenye mafuta mengi na sukari bila ya kutumia matunda kwa wingi, yumo kwenye hatari ya kutopata uja...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Kamasi ni sababu ya magonjwa yote. RIP DR.SEBI Hili ndilo swali nililoulizwa mahakamani, kwamba kwa nini tunatoa madai haya na kwa nini tulifanikiwa sana na kinachoendelea ni kwamba ugonjwa huo...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Jibu la haraka ni mtu yoyote. Tiba ya chiropractic inasimama zaidi kwenye kinga kuliko tiba, unapata kinga kwaajili ya kuzuia magonjwa ya uti wa mgongo na magonjwa mengi ambatanishi. Ijapokua tiba...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Wadau nawaombeni msaada, kisigino changu cha mguu wa kushoto kinaniuma sana utafikiri labda kuna msumari umeingia, nimewaona wataalamu wengine wakasema huenda ni uzito nipunguze uzito. Nimefanya...
1 Reactions
36 Replies
27K Views
Siku hizi mwili wangu umekuwa dhofrihali! Siko active kama nilivyokuwa kipindi cha nyuma. Nimejawa na uzembe sio uzembe, mchoko sio mchoko, yaani nipo nipo tu. Nikijiegesha tu, hata dakika haiishi...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Kunuka harufu mbaya (kikwapa) ni ugonjwa au uchafu? kama ni ugonjwa kuna dawa? Kuna hii hali ambayo mtu ananuka kikwapa wakati wa kula tunda (wakati mwingine aaaah yuko safiii tu). Je...
0 Reactions
581 Replies
201K Views
Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34. Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha...
23 Reactions
49 Replies
4K Views
Kwa mfutiliaji na mtu anayejua kiasi sayansi atagundua kuwa hii mimea yote ni jamii ya legumes! Jamii hii ya mimea ina sifa ya kuweza kugeuza hewa ya Nitrogen kupitia mizizi yake. Nitrogen...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hii shida ninayo sana ya usingizi ulioptiliza. Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo. Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes. Je, hili tatizo dawa yake nini?
22 Reactions
57 Replies
4K Views
A serious liver infection caused by the hepatitis B virus that's easily preventable by a vaccine. This disease is most commonly spread by exposure to infected bodily fluids. Symptoms are variable...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kujua faida na hasara, kiwango sahihi kiafya kwa siku, unywaji salama na kiwango hatarishi kwa siku nk
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…