Wakuu,
Kuna kitu huwa najiuliza sijawahi kupata majibu ya kuridhisha!
Mimi ninachojua; ubongo upo kichwani, uwe ni unaohusika na mambo ya hiari, yasiyo ya hiyari, upo Kichwani.
Swali...
Nafahamu utendaji wa figo, kuchuja uchafu na vitu vinginge vilivyo katika damu na kutoka kwenye mwili wa binadamu kwa njia ya mkojo.
Na hii hufanyika mara thelathini na ushee hivi kwa masaa 24...
Habari wakuu... Wapi naweza pata Liquorice/Licorice root hapa Dar kwa ajili ya matibabu ya vidonda vya tumbo.
✓ Wholesale au retail.
✓ Bei ikoje kwa kilogram au kipimo Chochote.
Natanguliza...
Wazee habari za majukumu nina shida ya ngozi ambayo inapelekea fingerprint za mikono yangu kadiri siku zinavyozidi kwenda .
Binafsi mi likija suala linalohusisha fingerprint kwangu uwa ni...
Homa ya nyani ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi kinachotoka kwa nyani.
Kirusi hiki kiligundulika mnamo mwaka 1958 barani Ulaya.Ila mwanadamu wa kwanza kuupata ugonjwa huu aliupata mwaka 1970...
Habari wanaJF
Wapo wanawake ambao hujifungua kwa njia ya kawaida ila kuna wengine hujifungua kwa operation nini kinapelekea wanawake kujifungua kwa operation? Kwa wajuzi mnaweza mkatiririka
Nimeona nije huku kwa great thinkers Huenda nikapata mawazo mawili matatu.
Mtoto wangu wa mwaka na miezi mitano anaharisha na kutapika leo ni siku ya Tatu. Anapata choo chenye rangi ya njano hivi...
Sijui ni mambukizi maana nililala na manzi
Hadi sasa kinawasha mno hadi kubabuka, nilpata na vipele mapajan nikatumia scaboma ahueni ila kwa dushe avisikiii vinawasha mbaya mbovu
Pia kama...
Jamani nawaasa na kuwaomba chondechonde tuliheshimu jino. Jino limeniweka kwenye nusu kaput, umwamba wote, mafunzo yote ya kibabe niliyasahau[emoji119]
Nimeapa kuwa balozi mzuri kuhusu haya...
1. Ndugu zangu JF nina shida ya jino limetoboka sasa sijajua gharama ya kuziba ni shilingi ngapi maana sina bima. Please, anayefahamu ni bei gani naomba anijuze.
2. Njia bora ni ipi, kung'oa ama...
Habari wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwezi ku-Erect vizuri ukasimama wima, ila unanyanyuka...
Kama kawaida yetu sisi wa Tanzania tunapendana na Kujaliana hivyo mtu anapoazima kitu tunampatia anatumia na kisha anarudisha na wewe unaendelea kutumia.
Wengi huazimana Earphone kazini, kwenye...
Mganga hajigangi .😷
Nina skull fracture ilio sababisha ubongo kua compressed >2.5mm inwards, space ilio wazi kati ya vipande vya fuvu ni >2mm, urefu wa ufa ni >35mm. MRI BRAIN IMAGES CHINI
hamna...
Serikali ya Tanzania imesema imeongeza posho za madaktari anapoitwa nje ya saa za kazi, posho ya sare za wauguzi na ile ya kuchunguza maiti kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025.
Hatua hiyo imekuja...
Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.
Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa...
Habari wana JF,
Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, sasa leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu.
Naomba ushauri kabla sijampeleka hospitali.
Habari ndugu zangu,, kiufupi mimi nilifanyiwa operation ya Tonses mwezi July 2015 na baada ya hapo huwa tu nasikia maumivu, sasa Jana nimesikia maumivu makali na leo pia yaani nikimeza kitu kama...
Najua wengi watasema nenda hospitalini lakini ni kuwa huko amepelekwa na hadi madaktari wa mifupa amekutana nao lakini hawajafanikiwa. Anakuwa kama anapararize upande mmoja hasa kwenye mkono mmoja...