Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 26
Habari ndugu zangu,, kiufupi mimi nilifanyiwa operation ya Tonses mwezi July 2015 na baada ya hapo huwa tu nasikia maumivu, sasa Jana nimesikia maumivu makali na leo pia yaani nikimeza kitu kama vile kwenye koo kuna vidonda,, naombeni ushauri na msaada wenu wa kitaalamu ili kumaliza hili tatizo ndugu zangu.