Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Salaam ndugu zangu,. naomba msaada kwa anayejua matibabu ya keloids(uvimbe fulani mweusi huota kifuani, shingoni, mgongoni au hata usoni) kuna mdogo wangu |(wa kike)ana uvimbe huo nitaweka picha...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
DAILY HABITS THAT WILL INCREASE YOUR MIND POWER 1. Go for a walk with a friend. That means walking with a friend so that you talk as you walk. Social connection, physical exercise and...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau kila nikiswaki asubuhi huwa natapika nyongo. Nikisha tapika huwa nakosa hamu ya kula chakula kwasababu inaniletea kichefuchefu. Nawailisha wataalam.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Unapokuwa na tatizo la sukari, unatakiwa kujua jinsi ya kuishi kila siku ili kuepukana na tatizo hilo. Kiasi ambacho hata mpenzi wako ataacha kuogopa kuhusu hali yako. Kiasi kwamba afya yako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wapendwa, Mwanangu wa miaka 3.5 haongei, alianza kutaja maneno kama dada na mama akiwa na umri wa miaka 2 lakini hajaimprove mara kadhaa nimemuona akiniita mama lakini ananiita kwa wiki...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Common – Health Mistakes All of us make little health mistakes that cause damage to our bodies in the long run – simply because we are unaware we are doing something wrong. Here are some of the...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, kiukweli mimi ninashida nilikua ninaumwa fangasi kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri ninachomshukur mungu ni kuwa nimepona baada yakutumia madawa mengi sana ikiwemo...
0 Reactions
62 Replies
10K Views
Kuna jirani yetu alijifungua juzi kati hapa. Kwa sababu kila kitu kilienda sawa, aliruhusiwa the same day akatoka hospitalini. Cha Ajabu siku iliyofuata alfajiri, akatapika matapishi yana traces...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jamii wenzangu naombeni mnijuze, mwenzenu nimekuwa na hamu ya kula udongo mara kwa mara. Mimi nina chofahamu ni kuwa hamu ya kula udongo inatokana na mtu kuwa mjamzito lakini mimi si mjamzito...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jana nilikuwa nafuatilia kipindi kimoja redioni kinaitwa "Afya ya jamii" kuna Daktari mmoja alikuwa anaelezea jinsi ya kutibu magonjwa mbali mbali haswa yatokanayo na kuvunjika mifupa, kupasuka...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Wataalam wanasema moja ya vitu vinavoweza kuzuia CANCER kwa binadamu ni utumiaji kwa wingi wa vyakula/matunda/mboga mboga ambazo zina wingi wa ANTIOXIDANT. sasa sija haja ya kuichambua hiyo...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
sababu uku mtaani kuna tetesi wanasema eti co vizuri
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa taarifa ambazo leo zimepamba magazeti lukuki,kuhusiana na Kuku wakisasa wanavyosababisha Kansa,na kuwa na homorne zinazosababisha Wanawake kuota ndevu,ugumba na Wanaume kuota matiti nk...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa wale wasioweza kuzaa kutokana na mume au mke kuwa na hitilafu, hizi ni njia za kuondoa tatizo hilo badala ya kwenda kwa wachungaji wa makanisa chipukizi. Gonga link upate very important...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamii forum naomba mnisaidie,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kwamba ktk jamii zetu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kuliko wa kiume,hii inatokanas na nini?
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Wakuu good evening. Natumai mpo swalamaaaaaa na utanipa ushauri. My Lil' Man is almost 4 months. He was a big baby at birth na namshukuru Mungu tunaendelea vizuri. Sasa basi he sweats alot...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wanajamvi nipo huku moshi kumalizia kuselebuka na masikukuu ya mwisho wa mwaka sasa nahitaji daktari wa meno kwa ajili ya mama yangu , tafadhali kwa mkaazi wa moshi anijuze hospitali nitakapompata...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna madhara gani yanayoweza kumpata mtu anapoingia mapema kwenye chumba ambacho kilifanyiwa fogging au fumigation? je madhara yakoje kwa mwanamke mjamzito? kuna namana yoyote ya kuthibitisha hewa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nasumbuliwa sana na nyongo iliyozidi,dalili kubwa nilizonazo ni kucheuwa kitu kichungu sana, loss of appetite,kichefuchefu,tumbo kujaa gas, na tumboni nahisi kama kuna kitu kinazunguka. msaada...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa hapa Dar ni wapi naweza pata izo kitu kwa hapa Dar? Kwa anaejua tafadhali..
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom