Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Heshima zenu wakuu,Kuna mzee wangu flani anatarajia kwenda ujerumani for treatment and medication! Ameniomba nimtaftie cardiologist mwenye uzoefu mkubwa! Kwahiyo wana jamvi Mwenye uelewa tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
heshima kwenu wakuu. Naomba kuelimishwa juu ya tohara kwa wanaume. 1. Kuna athari gani ya kwa mwanaume kutotahiriwa 2. Madhara gani atapata mwanamke kwa...
1 Reactions
8 Replies
13K Views
nisaidieni wadau.hivi ina weze kana kweli ukawa na mahusiano ya kimapenzi na mtu alie athirika na usifahamu kama ameathirika then uende kupima halafu ujikute wewe upo safi kweli?
0 Reactions
3 Replies
821 Views
Leo nataka nitoe mada hii kuhusu fructose. Hii ni aina ya sukari inayopatikana kwenye matunda mbalimbali. Kwa kawaida kuna aina tatu kuu za sukari (simple sugar au monosaccharides) nazo ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jf doctors naombeni msaada wenu juu ya madhara yatokanayo na kutumia sabuni mara nyingi kusafisha sehemu za siri(uke). Binafsi huwa nafanya hivyo ila kuna mahali wadada walikuwa wanaongea kuwa ina...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Dear doctors, I was once told by some colleague that there's a relationship between pneumonia and flu. The colleague said that flu can develop into pneumonia if the flu viruses find a chance to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
His name is Prof. Isaiah Ibeh and he is the Dean, School of Basic Medical Sciences, University of Benin. Prof Ibeh yesterday Tuesday January 8th announced the development of a new drug that can...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau wa Jukwaa la JFD, Napenda kuwajuza kuwa sasa hivi kuna hatari kubwa ya watu kupata mgogoro mkubwa zaidi wa kiafya kuhusiana na uingizwaji wa madawa ya kila aina nchini kwetu. Sasa hivi...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Medical marijuana users would agree that the best no-nonsense painkiller out there is the daily usage of marijuana, and is quickly becoming hand over fist the highest demand medical product on the...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari wana JF, Naomba msaada kwa mwenye uelewa au mwenye uwezo wa kunifanyia searching, Ndugu yangu ana tatizo la macho linaitwa Gene Therapy, retinits pigmatos, kwa ufupi tu tiba hii Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
The doctor recommends suctioning baby's nose to ease the congestion of a cold. Cold compresses, you hear, are the best way to treat a burn. And steam is ideal for treating a baby with the croup...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna thread iliripotig "REDBULL NI HATARI DANGER KWA AFYA YAKO" Je? Kuna yeyote alipata kusikia madhara yake? Ama ilikuwa ni propaganda ya Biashara. Mi nilikatizaga pamoja na ss nataka niikaribie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Nina tatizo la kuwashwa miguu kuanzia magotini kushuka chini, yani najikuna mpaka kunatoke kipele kinachoweka maji kama lengelenge na bado sehemu hiyo hiyo itawasha bila kupoa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Doctor's napenda kujua faida au uzuri wa kuwa na blood 0. Ni hayo tu
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Dear Doctors, for a very long time i've been blind on this matter. Please, how long can an HIV survive when it's outside human body? I'm looking forward to your response!
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Mara nyingi nikipewa dawa za minyoo huambiwa nitumie asubuhi kabla sijala kitu chochote. Natambua kuwa huo ni muda muafaka kwa assumption kwamba tumbo linakuwa empty kwa maana kwamba...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
hivi inawezekana kufanyika Liver transplantation? na je ini lina uwezo ku-regenerate?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye miaka ya 80 na 90 nilikuwa nabugia kilaji sawasawa tena bia kama Safari ilikuwa haifai kwangu mbele ya Kibo, Lion, Uhuru, Serengeti, Castle na ze Kick. Hivi karibuni bia hizo zinanikataa...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
In a stunning look at the medicinal properties of marijuana use, a study published in the American Journal of Epidemiology has found that obesity rates are lowered by roughly one third in those...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani hivi mba tiba yake ni nini?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom