International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki wamefika katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kusini mashariki mwa Ukraine, shirika la habari la Reuters linaripoti. Mwandishi wa habari...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hatua hii inakuja baada ya Taiwan kuionya China kwamba itaanza kuziangusha ndege za China zitakazoingia kwenye Anga lake endapo China itaendelea na Uchokozi huo. Move comes after Taiwan said it...
0 Reactions
5 Replies
632 Views
Wadukuzi Nchini Australia wametengeneza tovuti ya habari za uwongo ili kukusanya taarifa kutoka kwa Maafisa wa Serikali, Wanasiasa na waandishi wa habari. Walengwa wamepokea barua pepe...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Mamlaka za Saudi Arabia zimesema zimeanza uchunguzi baada ya video iliyosambaa mtandaoni kuonesha maafisa usalama wakiwashambulia wasichana wadogo katika kituo cha watoto yatima Video zimeonesha...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Madai ya kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwamba wabunge katika nchi hiyo wanalipwa hadi dola 21,000 kwa mwezi yamezua hasira Jumatano katika taifa hilo, ambalo ni mojawapo...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Ripoti mpya ya Idara ya Takwimu (INEGI) imesema #Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana umeongezeka zaidi ndani ya miaka mitano iliyopita, uchunguzi umebaini wanawake 7 kati ya 10 wameripotiwa...
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Taiwan imetenga fedha kwenye bajeti yake ya Ulinzi mwaka huu kununua Makombora ya HIMARS (29 launchers pamoja na maroketi 864) pia Makombora yake mazito ya ATACMS yenye uwezo kupiga adui umbali wa...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Hali inazidi kuwa balaa, Kherson kunawaka moto, Warusi wameingiwa na msongo wa mawazo hawajui wanachopigania kwenye nchi ya watu, huyu kalewa mipombe na kufanya yake kwa wenzake...... A Russian...
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Mrusi hana hamu na HIMARS, zinamtesa sana hadi leo, zimewapa jeuri Ukraine kiasi cha wao kuanzisha mashambulizi wenyewe tofauti na awali walivyokua wanapambana kuhimili mashambulizi..... Ukraine...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu ya mwezi. Wafanyakazi wa kujitolea huko Qinhuangdao mkoani Hebei...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Bara Ulaya kuzuia visa kwa Warusi, na hii ni pamoja na mataifa yaliyoizunguka Urusi, yaani Putin anapitisha taifa lake kwenye hali ngumu sana. ========= European Union foreign ministers have...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Uingereza (Reuters) yaripoti kuwa Mkuu wa majeshi ya Ugerumani Generali Eberhard Zorn ameionya NATO kuwa isichukulie powa nguvu za kijeshi za Urusi. Mkuu huyo wa majeshi akaongezea kuwa Urusi ina...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Mikhail Gorbachev alikuwa mmoja wa watu mashuhuri katika siasa karne ya 20. Aliongoza kuvunjwa kwa Muungano wa Sovieti ambao ulikuwepo kwa karibu miaka 70 na ulikuwa umetawala sehemu kubwa za...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Mkutano wa akili bandia duniani mwaka 2022 umefunguliwa leo katika Kituo cha Maonyesho cha kimataifa huko Pudong, Shanghai. Kauli mbiu ya mkutano huu ni "muunganiko wa akili bandia, fursa zisizo...
0 Reactions
4 Replies
820 Views
Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Urusi baada ya kuteka mji wa Kherson, walipata jeuri hadi ya kusimika makao makuu na kujichimbia, sasa kibao kimegeuzwa, operesheni fagia fagia na kufyatua, Ukraine wanakomboa ardhi ya mababu...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Tasnia ya pono nchini Japan yakumbwa na uhaba mkubwa wa wanaume,ambapo sasa wastani ni wanaume 70 kwa wanawake 10,000 Maneno hayo yamesemwa na mfalme wa pono nchini Japan anaitwa SHIMIKENI, Huyu...
10 Reactions
57 Replies
7K Views
Kampuni kubwa ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Urusi, Gazprom, imesema vikwazo katika bomba la Nord Stream 1 vitadumu kwa siku tatu zijazo. Urusi tayari imepunguza mauzo ya gesi kwa kiasi...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Sina Utaalamu wa zana za Kivita ila nimevutiwa kuijua zaidi mizinga hiyo ya Kivita natumai humu kuna wajuzi/wajuvi wa mambo hayo. HIMARS tangu zimeingia Ukraine kutoka Marekani zimebadilisha kila...
35 Reactions
368 Replies
27K Views
Mwaka huu tutashuhudia mengi. Wakoloni wa Afrika wanazidi kuumbuliwa na Urusi kupitia nishati za Urusi. Hivi sasa Putin amekula sahani moja na Ufaransa kwa kumkatia gesi Macron baada ya Ufaransa...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…