International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ayatollah Khamenei Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi Hezbollah walipukutika Hamasi wakapukutika Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa Target yaweza kuwa khamenei...
23 Reactions
86 Replies
4K Views
Suala Iran linaonekana limeanza kuwa gumu kwa Marekani, Trump leo ametema Nyongo na kuzishutumu baadhi ya nchi kutokuwa na shauku za kuisaidia Marekani kutatua changamoto ya mfereji wa Hormuz...
3 Reactions
16 Replies
529 Views
Kwa sababu shambulio moja tu la droni kwenye kitu muhimu kama kituo cha kuondoa chumvi kwenye maji ya bahari (desalination plant) au bandari ya biashara linaweza kuleta madhara makubwa kuliko...
1 Reactions
1 Replies
200 Views
Iran imewakamata watu 500 wanaotuhumiwa kushirikiana na maadui kwa kutoa taarifa nyeti, mkuu wa polisi wa nchi hiyo Ahmadreza Radan alisema Jumapili, wakati ndege za kivita za Israel na Marekani...
3 Reactions
7 Replies
308 Views
Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa...
1 Reactions
2 Replies
189 Views
Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana. Taarifa kutoka...
1 Reactions
5 Replies
233 Views
Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake...
1 Reactions
0 Replies
184 Views
Jeshi la Marekani limethibitisha Ndege yake ya Kijeshi kuanguka nchini Iraq. Ndege hiyo ya kijeshi ya KC-135 ilianguka baada ya ajali kati ya Ndege mbili. KC-135 ni Ndege iliyotengenezwa na...
2 Reactions
4 Replies
363 Views
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina...
5 Reactions
11 Replies
362 Views
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile. Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya...
1 Reactions
20 Replies
623 Views
Kumeanza kuchangamka Umati mkubwa wa watu umefurika katika mitaa ya Tel Aviv, wakielekea kwenye majengo ya serikali katika maandamano makubwa yanayotikisa utawala. Kulingana na BRICS News, hali...
4 Reactions
4 Replies
344 Views
Wakati uchaguzi wa uraisi unaendelea jamhuri ya kongo mtandao wa NetBlocks umetangaza kukatika kwa intaneti karibu nchi nzima. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa NetBlocks, Alp Toker, kiwango cha...
0 Reactions
6 Replies
258 Views
Wakuu, Rais wa South Korea, Lee Jae-myung, amesema serikali itaongeza juhudi za kuwatambua wanaharakati zaidi walioshiriki katika harakati za demokrasia za miaka ya 1960 na kuhakikisha wanapata...
0 Reactions
2 Replies
198 Views
Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa...
2 Reactions
1 Replies
370 Views
Jambo la kawaida kwa mataifa tajiri kama USA na URUSI kusikia kauli hii" NDEGE VITA AINA HII ILISTAFISHWA" Je ndege za aina hii zinauzwa chuma chakavu au huwa wanazipeleka wapi? Wataalam wa...
4 Reactions
18 Replies
388 Views
Wameambiwa wasipoondoka ndani ya masaa 24 watakutana na hatma yao!! Aisee mambo yanaenda kuwa serious zaidi [emoji837] [emoji732]️URGENT [emoji837][emoji1130][emoji1134] EVACUATION NOTICE FOR TEL...
5 Reactions
22 Replies
492 Views
Kulingana na taarifa rasmi za kijeshi la wanamaji la Marekani US NAVY zilizotolewa kuhusiana na tukio la kuzuka kwa moto ndani ya meli ya USS Gerald R. Ford (CCVN-78): Moto huo ulitokea tarehe 12...
3 Reactions
44 Replies
918 Views
Kamandi la Jeshi la Marekani (CENTCOM) imesema Machi 2, 2026 kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa Kuwait kwa bahati mbaya ulitungua ndege tatu za kivita za Marekani ikiwa vita dhidi ya Iran na Israel...
1 Reactions
67 Replies
1K Views
Imekuwa too much sasa, kila kona uwakutapo waarabu wa Mbwinde utawakuta wakipeana habari za Netanyahu kuuawa. Ni wapi wanazitoa hizi habari ?
0 Reactions
12 Replies
267 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…