International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita. Kuna dalili fulani ambazo...
35 Reactions
97 Replies
6K Views
Huyu ni mwamba wa Karne wale vijana wangu wasomi wa mambo ya IT wanamjua fika . He is my hero. SHETANI Putin baada kuharibu miundo mbinu ya internet Nchi Ukraine , huyu mwamba alipigiwa simu na...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Anaendelea kutapatapa hajui mchawi wake nani, anayemroga yuko wapi... Vladimir Putin has sacked its highest ranked general in charged with managing its military’s logistics operations in Ukraine...
2 Reactions
3 Replies
965 Views
Safi sana Finland na mataifa mengine wamepiga pini, hakuna kuingia, warudi wapambane na Putin humo humo Urusi, walikua wakichekelea waliposkia ameanza vita vya kijinga dhidi ya kataifa ka-Ukraine...
1 Reactions
2 Replies
866 Views
My take kwa hiyo sheria inamaana wanajeshi wameisha goma kupigana vita. Na huenda vinaweza vikatokea vita vya wenyewe kwa wenyewe. au tayari vimeisha tokea. Kwa sababu kama imefikia hatua mtu...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii. ====== The U.S. has privately been warning the...
10 Reactions
62 Replies
4K Views
Vladimir Putin has fired the general charged with managing the Russian military's faltering logistics operations in Ukraine. Gen Dmitry Bulgakov, a deputy defence minister, was removed from his...
1 Reactions
11 Replies
950 Views
Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake.... ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imekubaliana kuwawekea vikwazo watu wa karibu na Serikali ya Kijeshi ya Guinea kufuatia Mapinduzi ya Mwaka 2021 yaliyoiondoa Serikali ya...
1 Reactions
6 Replies
997 Views
Provoking Russia into a nuclear exchange while Russia has the best anti-ICBM missile systems is like getting into a gun fight with an opponent who is carrying the world’s best ballistic shield It...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Rais Hakainde Hichilema ameahidi kushinikiza kutupiliwa mbali kwa Sheria tata inayoharamisha kumtusi Rais, hata hivyo amesema Sheria iliyopo itaendelea kutumika hadi maboresho yatakapofanyika...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron amesema utawala wa kidemokraisia unaelekea kufa duniani kote ikiwemo Marekani kwenye. Katika kile alichokiita mzozo wa kidemokrasia Macron amesema hali hiyo...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mengine kasema Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha Kasema misaada wanaitumia vizuri Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
MOSCOW, Sept 23 (Reuters) - Russia has ramped up oil shipments to Asia since Europe imposed sweeping sanctions, but still needs to re-route over a quarter of its crude exports away from Europe -...
1 Reactions
3 Replies
754 Views
Kampuni ya Pili kwa ukubwa ya Mawasiliano nchini humo, #Optus, imeripoti shambulio la mtandao ambalo limefichua Taarifa Binafsi za Wateja kama Majina,Terehe za Kuzaliwa, Nambari za Simu na Anuani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi,mwandani na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini humo amewaambia makuruta watize wajibu wao na wasiogope kufa kwani hata wakifa wataenda kupumzika...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Mahakama ya Juu Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), imebatilisha amri ya Rais Faustin Archange Touadera ya kuunda kamati ya kuandika #KatibaMpya na kuamua kuwa amri hizo ni kinyume na Katiba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mojawapo wa sababu wanasema juzi nchi yao imepokea mkongoto/kichapo ilhali Urusi haikufanya chochote kuwasaidia licha ya kuwa na base ya kijeshi pale. ========== Over a hundred people gathered...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…