CAR: Mahakama yatupilia mbali uwezekano wa kubadilishwa kwa Katiba

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Mahakama ya Juu Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), imebatilisha amri ya Rais Faustin Archange Touadera ya kuunda kamati ya kuandika #KatibaMpya na kuamua kuwa amri hizo ni kinyume na Katiba ya Nchi hiyo

Mnamo mwezi Agosti 2022 Rais Touadera aliamrisha kuundwa kwa Kamati ya Kuandika Upya Katiba ya Nchi hiyo na kuzua hofu kwamba alitaka kuwania Muhula wa 3 Madarakani

…………………

A court in the Central African Republic (CAR) has annulled presidential decrees setting up a committee to rewrite the constitution.

The move by President Faustin Archange Touadera had fuelled fears that he was seeking a third term in office.

The court ruled the decrees unconstitutional.

Last month opposition and civil society groups staged a protest in the capital Bangui against them.

President Touadera won a second term in 2020 in a controversial poll that took place against a backdrop of violence by rebel groups.

In recent years he has relied on military contractors from Russia to help push back the rebels.

This has led to worsening relations with the CAR's main donors including the EU, the US and France.


Source: BBC
 
Safi hz ndio mahakama sasa. Co vijiwe vya TZ mpk wale COVID 19 wako bungeni
 
Back
Top Bottom