Wabunge wengi wa Ufaransa wametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya mbunge wa National Rally, Gregoire de Fournas aliyepiga kelele akisema “rudi zako Afrika” wakati mbunge Mweusi akiuliza swali...
Tokyo inasema hatua hiyo itasaidia kudumisha upatikanaji wa nishati nchini Japan. Japan inashiriki katika mradi wa nishati wa Urusi
Kampuni ya nishati ya Japan SODECO imeamua kubakiza hisa zake...
Marekani hivi sasa imeshatoa zaidi ya dola bilioni 18.2 kwa Ukraine tangu kuanza kwa uvamizi wa kikatili usiyokuwa na sababu yoyote wa Russia hapo Februari 24,”
Mamia ya Raia wameandamana katika Mji Mkuu Accra, wakitaka Rais Nana Akufo-Addo ajiuzulu kutokana na mzozo wa kiuchumi ambao umesababisha gharama za mafuta na chakula kupanda Kwa Viwango vya Juu...
Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk ...
Dr Yuval Harari, mshauri mkuu wa mwanzilishi wa WEF, Dr. Claus Schwab, amesema bila aibu na kumung'unya maneno kwamba wanadamu wote kama ikiwa lazima wataangamia, isipokuwa "The Elite."
Dk. Yuval...
Kampeni ya uondoaji utulivu inayoungwa mkono na Marekani haikufaulu, rais aliwaambia wanafunzi
Picha:Wairani wakichoma nembo za Marekani na Israel kusherehekea Siku ya Kitaifa Dhidi ya Kiburi...
Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo ambaye ametawala nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa miaka 43, ametangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Novemba 20, 2022
Rais...
Nchi hiyo ilishinda uhuru wake miaka 43 iliyopita, Rais Ebrahim Raisi alisema
Ebrahim Raisi alihutubia umati wakati wa maandamano ya kila mwaka mbele ya Ubalozi wa zamani wa Marekani mjini...
Wanajeshi wa Marekani wamewasili nchini Ukraine katika ubarozi wa Marekani ulioko mji mkuu wa KYIV. Licha ya kutotaja idadi yake kamili,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani amesema Kuwa...
Wauaji waliopatikana na hatia na wauzaji dawa za kulevya ambao wametoka gerezani hivi majuzi nchini Urusi wanakabiliwa na kuandikishwa kupigana nchini Ukraine chini ya mabadiliko ya sheria.
Rais...
Pyongyang imerusha SAFU ya Makombora na ‘Artillery Shells’ kupinga kuongezwa kwa michezo ya vita kati ya Marekani na Korea Kusini wiki hii.
Marekani imeomba kufanyika kwa mkutano katika Baraza la...
Vikosi vya kijeshi vya Seoul vilisema karibu ndege 200 za jeshi la Korea Kaskazini ziligunduliwa kwenye rada zikiwa angani siku ya Ijumaa
Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Korea Kusini...
Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege...
Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali.
Mwanasiasa huyo...
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametoa wito kwa China kutumia ushawishi wake kuishinikiza Urusi kukomesha vita nchini Ukraine, wakati wa mazungumzo yake na Rais Xi Jinping in Beijing.
Bwana...
Nchi zinakimbilia kupata vifaa kwa msimu wa baridi licha ya msukumo wa mataifa ya Magharibi kuachana na nishati ya Urusi
Usafirishaji wa gesi asilia (LNG) kutoka Urusi uliongezeka mnamo Oktoba...
Wabunge wa Ukraine walitupilia mbali ahadi ya Marjorie Taylor Greene, wakisema hawakilishi Warepublican wote..
Iwapo Warepublican watashinda tena Congress katika uchaguzi wa katikati ya muhula wa...
Netanyahu ameshinda uchaguzi na kurejea katika wadhifa wa Waziri Mkuu wa Israel. Katika uchaguzi wa Knesset, kambi ya Waziri Mkuu wa zamani Benjamin Netanyahu ilipata wingi wa kura 64 bungeni...
L
Commodities giant Glencore (GLCNF) has been ordered to pay a record £281 million ($314 million) penalty by a UK court for bribing officials across Africa to gain access to oil.
The UK...