Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Netanyahu ameshinda uchaguzi na kurejea katika wadhifa wa Waziri Mkuu wa Israel. Katika uchaguzi wa Knesset, kambi ya Waziri Mkuu wa zamani Benjamin Netanyahu ilipata wingi wa kura 64 bungeni. Netanyahu alishawahi kueleza nia ya kuipatia Ukraine silaha iwapo atachaguliwa tena.
Irani, Palestina kuteseka kupo pale pale. Mzee wetu huyu huwa haulizi swali moja mara mbilimbili. Wanasayansi wa nyuklia wa irani wanamjua vizuri tu.
Irani, Palestina kuteseka kupo pale pale. Mzee wetu huyu huwa haulizi swali moja mara mbilimbili. Wanasayansi wa nyuklia wa irani wanamjua vizuri tu.