International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi. Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Tafsiri kutoka gazeti la ANI Uingereza imesisitiza uungaji mkono wake wa kuundwa kwa viti vipya vya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kwa India, Ujerumani, Japan na...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu.... Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones.... British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah. Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones...
9 Reactions
166 Replies
7K Views
Baada ya Korea Kaskazini kurusha ICBM linaloweza kwenda kupiga kwa usahihi target ndani ya US juzi leo Marekani wamepeleka Supersonic B -1B Korea Peninsula...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
The West should do its best to prevent an escalation between Russia and NATO, German Chancellor Olaf Scholz said on Saturday, while stressing his belief that it is necessary to continue providing...
2 Reactions
4 Replies
503 Views
Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kombora hilo linakuja baada ya Pyongyang kuapa "na kupinga vikali" kwa shughuli za kijeshi katika eneo hilo la Penisula kati ya Marekani na washirika wake. Korea Kaskazini imerusha kombora...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi...
6 Reactions
110 Replies
7K Views
Zuio hilo limeendana na hamasa kwa viwanda vya ndani kutakiwa kuelekeza nguvu zao kutengeneza magari ya umeme, chanzo ikiwa ni kulinda mazingira. Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya leseni za magari...
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Ukraine wamedhamiria, wapo radhi kuendelea kulipa gharama, wanasukuma mapigo kwa kwenda mbele, kunao wanakufa ila ndio hivyo, ardhi lazima ikombolewe, wanasema mpaka sasa hamna gia itakayorudisha...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Salama wandugu, Kwanza nianze kwa kuwapa pole wananchi wa Ukraine kumchagua mhuni kuongoza nchi kihuni huni. Alianza kwa kupanga kulipua dirty Bomb wakamshitukia kama kelele zisingepigwa...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin...
13 Reactions
169 Replies
11K Views
Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu. Habari...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
Mgogoro unaendelea kimya kimya baina ya Zelensk na Mkuu Majeshi ya Ukraine LIVE 19 Nov, 2022 10:26 HomeRussia & FSU Ukraine’s top general asked to reduce public profile – FT The report...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine Oct 11, 2022 02:27 UTC [https://media] Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Uingereza, Chancellor Jeremy Hunt, ameanza kukubali kile waingereza wengi walikuwa wakishuku lakini moyoni wakikikataa, kuwa kujiondoa Umoja wa Ulaya unawapiga kiuchumi kwa sana...
14 Reactions
44 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…