International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wafuatiliaji wa shughuli za kijeshi wamesema kwamba rais wa Belarus Alexander Lukashenko anatoa msaada wa kijeshi na silaha kwa Russia katika vita vinavyoendelea Ukraine. Belarus imeruhusu karibu...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
kupanda mchongoma kushuka ndio ngoma : Bei ya mafuta ya Urusi imeporomoka chini ya kiwango cha EU kilichopendekezwa. Mafuta yasiyosafishwa ya Urals ya Urusi yameshuka hadi $51.96 kwa pipa kwenye...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wajerumani hawataki kuona jeshi la USA kwao, wanawafukuza wa America kwao na NATO inansambaratika
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Samaki katema ndoano. Twende kazi Mkuu wa shirika la nyuklia nchini Ukraine, Petro Kotin amesema kwamba kuna ishara kwamba wanajeshi wa Russia wanajitayarisha kuondoka kutoka kiwanda cha nyuklia...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Government of Zambia says a Zambian student, Lemekhani Nathan Nyirenda, has “died at the battlefront in Ukraine”. Zambia has asked Russia to provide info on how “Zambian citizen serving a prison...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MiG-31, ambayo ilifanya majaribio yake ya kwanza mnamo 1975, bado inawatia wasiwasi wataalamu wa kijeshi wa Western Military Watch imeripoti. Urusi haikuwahi kuza ndege hii, ndiyo sababu nchi za...
16 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa miaka mingi Marekani imekuwa ikiiwekea ajenda za kuikwamisha Venezuela hasa katika sekta ya mafuta. Vikwazo hivyo viliitikisa sana Venezuela na kuirudisha nyuma kiasi kwamba watu walipanga...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Toomaj Salehi anatuhumiwa kueneza Propaganda, Kushirikiana na Serikali yenye Uadui na Kuchochea Vurugu. Salehi alikamatwa Oktoba 2022 baada ya kuunga mkono...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Interesting. The FBI offers a 250K reward for the capture of Yevgeniy Viktorovich Prigozhin, founder of the Wagner Group...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Inadaiwa endapo kama ndege za marekani zitafuta Safari zake kwenda China basi hasara watakayoipata kwa mwaka inakadiriwa kufika dola bilioni hamsini(50billion USD). Chanzo: China center, US...
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Wachina ni watu ambao ni risk takers, baada ya Wamarekani kuondoka afghanistan, wajasiriamali kutoka China wamekuwa wakikimbilia huko wakidai kuwa Afghanistan kwa sasa ni kama China ilivyokuwa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na maafisa wa juu wa Serikalini. Inadaiwa kuwa Waziri wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki...
2 Reactions
1 Replies
632 Views
Wana hasira sana kwa ambavyo wanaendelea kuuawa na mpaka sasa haieleweki nini mipango ya nchi yao na nini haswa wanachofia...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo China bado imeweka Sheria...
0 Reactions
3 Replies
872 Views
Katika vita inayoendelea Kati ya taifa la URUSI na UKRAINE' mataifa ya ulaya na marekani yamekuwa yakiisaidia ukrane Kwa kulani uvamizi huo,na pia Kwa kuiwekea URUSI vikwazo vya kiuchumi. Hivyo...
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Wizara ya Ulinzi ya Russia: Wamarekani wametengeneza virusi vipya vya corona Nov 27, 2022 06:54 UTC Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa: Chuo Kikuu cha Boston cha nchini Marekani...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya...
1 Reactions
2 Replies
707 Views
Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi. Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira...
11 Reactions
102 Replies
8K Views
Waziri wa fedha, Samuel Tweah amesema Rais George Weah "anastahiki" posho ya kila siku ya $2,000 sawa na Tsh. 4,660,000 wakati wa safari yake ya Nje ya Nchi iliyoanza Novemba 1 hadi 23...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…