International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane..... Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in...
1 Reactions
3 Replies
667 Views
Al Shabaab wamelipua mabomu Somalia hakukaliki. Nineteen people have been killed in twin car bombings in central Somalia claimed by Al-Shabaab, a local militia commander in the Hiran region said...
0 Reactions
4 Replies
924 Views
Afghanistan's ruling Taliban killed eight Islamic State militants and arrested nine others in a series of raids targeting key figures in a spate of attacks in Kabul, a senior Taliban government...
1 Reactions
5 Replies
817 Views
Jumapili, Januari 8, 2023, China ilitangaza kulegeza zaidi hatua za udhibiti wa virusi vya Corona, na kuondoa masharti ya kuweka wasafiri karantini mara wanapowasili nchini China kama ilivyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Mursal Nabizada na mlinzi wake wote wameshambuliwa kwa risasi na kupoteza maisha Jijini Kabul ikiwa ni mwendelezo wa matukio ya mauaji Nchini humo hasa yakiwalenga Wanawake. Nabizada alikuwa...
2 Reactions
6 Replies
886 Views
Vikosi viwili vya Wanamgambo wa Ukraine baada kukutana na kipigo kikali wamegoma kupigana mstari wa mbele na wamekimbia kama farasi kuelekea kwenye mapango ili kuokoa roho zao...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kutuma vifaru na bunduki za kivita kwa Ukraine ili kuimarisha juhudi za vita vya nchi hiyo kutaacha Jeshi la Uingereza likiwa dhaifu, mkuu wake amesema. Jenerali Sir Patrick Sanders alisema kuwa...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa siku hizi mbili Urusi imeendelea kushambulia anga la Kyiv bila shida yeyote! Lakini je ule mfumo wa kulinda anga walio pewa Ukraine na USA ni mbovu? Link: Russian missiles hit critical...
14 Reactions
58 Replies
5K Views
Ninachoona kinachoendelea Ukraine [emoji1255] ni madhara tu kwa nchi yao,asikubali kusogezewa mzigo wa siraha,watu wao wanakufa,miji inakufa,miundombinu nayo inaharibika
8 Reactions
239 Replies
15K Views
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limesema kuwa Mauaji ya waandishi wa habari na wafanyakazi katika vyombo vya habari yaliongezeka mwaka 2022 kutoka 55 na kufikia...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Something really major is going on concerning the World Economic Forum gathering in Davos, Switzerland. I reported earlier that WEF Chief Klaus Schwab would not attend due to health reasons, and...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika...
3 Reactions
3 Replies
616 Views
Kwa mara nyingine Urusi imeendelea kupiga maeneo mbali mbali ya Ukraine ambapo jengo moja la ghorofa 9 limeporomoshwa huko Oblast ya Kherson. Katika hotuba yake ya usiku wa jana raisi Zelensky wa...
11 Reactions
66 Replies
5K Views
Taa kubwa zenye rangi mbalimbali zawashwa kwenye Bustani ya Datang Furong mjini Xi’an China, ili kusherehekea Sikukuu ya Spring
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Christine Lambrecht amejiuzulu kwenye nafasi, kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Uingereza (BBC Swahili). ======== Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Achana na Vita inayoendelea Kati ya Russia na Ukraine,siongelei hilo swala. Hapa namzungumzia Putin katika angle nyingine kabisa Hizi hapa ni sababu zangu kwa nini namkubali Sana Putin ; 1...
13 Reactions
26 Replies
2K Views
Pamoja na kutumia vibaka wa Wagner ambao humo kuna wafungwa wa kila aina, na makombora na zana aina nyingi, kamji ka Solendar kamekua kama mfupa uliomshinda fisi, Warusi wameuawa kama senene (100...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Mahakama ya Afrika Kusini imesitisha mashtaka binafsi dhidi ya Rais Cyril Ramaphosa yaliyoanzishwa na Rais wa zamani Jacob Zuma. Ramaphosa alikata Rufaa Mahakamani kujaribu kusitisha juhudi hizo...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme. Msaidizi wa Rais Zelensky...
9 Reactions
9 Replies
2K Views
Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…