International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakati raisi Donald Trump akiwa amepagawa na vita ametishia kuripua zaidi vituo vya nishati vya Iran.kwa upande wake Iran imesema Trump akitekeleza kitisho hicho basi nayo itapiga vituo vya...
2 Reactions
8 Replies
364 Views
Mamia ya meli za mizigo zinakwepa au zimekwama kupita Hormuz kutokana na hatari katika eneo hilo na ukosefu wa ulinzi wa meli za escort tangu vita ianze. Marekani iliahidi kuzipa ulinzi lakini...
7 Reactions
20 Replies
687 Views
Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi. Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo...
3 Reactions
7 Replies
263 Views
MJUMBE HAUWAWI... Leone Panetta ameingia kwenye jeshi la Marekani mwaka 1964. Ametumika jeshini, taasisi za kijasusi na ndani ya serikali ya Marekani kwa miaka mingi. Huyu ndiye alisimamia mauaji...
5 Reactions
7 Replies
367 Views
Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya Urusi imejiondoa katika mkataba wa kupinga uundaji wa makombora ya masafa marefu uliyofikiwa enzi ya vita baridi kufutia uamuzi...
4 Reactions
115 Replies
14K Views
Tusijisahau sana SEKUNDE 40 zilitosha kwa Israel kuwabamiza VIONGOZI 40 (Akiwemo Ayatollah) Tafsiri : Unaweza kufanya nini ndani ya sekunde 40 ? Unaweza kumimina maji kwenye glasi, unaweza...
2 Reactions
25 Replies
437 Views
  • Redirect
Jamaa kafa na miaka 43 tu Alikua ni mwisrael na myahudi aliyekua sehemu ya mchango mkubwa kwa Israel Alikua anatoa mabilioni ya pesa kufadhili taifa la Mungu la Israel Alikua anamiliki page za...
1 Reactions
Replies
Views
Nini kio nyuma ya pazia ? Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara. Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini...
3 Reactions
21 Replies
559 Views
Mafuta ya Kirusi yameondolewa vikwazo Mafuta ya Iran yameondolewa vikwazo Meli hulipa dola milioni 2 kwa Iran kupita kwenye Mlango wa bahari wa Hormuz Dola trilioni evaporated kutoka soko la...
11 Reactions
59 Replies
1K Views
Leonid Radvinsky, the owner of adult‑content platform OnlyFans, has died of cancer at the age of 43, the company said in a statement on Monday. "We are deeply saddened to announce the death of...
2 Reactions
2 Replies
317 Views
https://youtu.be/UOlqEJEsEI4?si=shzpruz0fzVk93XV Ujumbe ndio huo Israel wanaendelea kupewa kichapo, na Israel wameshangaa kusikia Trump kakubali kusimamisha vita na Iran Mkuu wa Majeshi ya anga...
6 Reactions
17 Replies
498 Views
Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na...
2 Reactions
25 Replies
780 Views
Mashambulizi yalofanywa na Marekani ikisaidiwa na Israel, yamepiga katika miji 20 kati ya miji 31 ya Iran na hadi sasa hakuna idadi kamili ya watu walokufa. Pia mitandao ya internet yote imezimwa...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa hakuwa mwanzilishi wa mgogoro unaoendelea hivi sasa na Iran, huku akisisitiza nafasi ya Waziri wake wa Ulinzi, Pete Hegseth, katika mchakato wa kufanya...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
The Alexandra Magistrates Court has once again postponed proceedings in the attempted murder case involving Chatunga Mugabe, drawing renewed attention to one of Zimbabwe’s most high-profile legal...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Kwenye vita Kuna mbinu nyingi sana za kumchanganya adui Changamoto kubwa ya Iran ni kwamba viongozi hawana Cha kupoteza Hawajali raia wao wanatamumia kiasi gani Cha misingi wao waendelee kuwa...
2 Reactions
20 Replies
450 Views
Wanajeshi na wahudumu wa ndege 66 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi ya Colombia kuanguka katika eneo la Puerto Leguizamo, Mkoa wa Putumayo, karibu na mpaka wa kusini mwa Ecuador na Peru...
0 Reactions
4 Replies
205 Views
Muislam kufa akipigia nchi yake au dini yake kwake huona ufahari mkubwa. Wakati wa mtume kuna vijana wadogo walikua wakimuomba mtume waende vitani ili waue au wakafe huko huko. Kuna waislam...
8 Reactions
54 Replies
754 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kusitisha kwa muda wa siku tano mipango yote ya kijeshi ya kushambulia miundombinu ya nishati ya Iran, kufuatia kile alichokielezea kama mazungumzo...
12 Reactions
79 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…